ZebraTiles
Manufacturing the best quality natural stone steel coated roof tiles and natural stone wall coating WhatsApp &☎️ +255 767 909 179
31/12/2025
Heri ya Mwaka Mpya 2026 🎉
Anza mwaka mpya kwa ubora wa kweli!
Zebra Tile Premium product kutoka Ando Roofing Products Limited inakupa uimara, muonekano wa kisasa na thamani ya kudumu kwa nyumba yako.
Chagua bora leo jenga kwa kujiamini.
KIGAE NI ZEBRA
24/12/2025
Merry christmas!
Zebra tiles premium product from Ando roofing products ltd we wish you a joyful festive season and new year with strong roof, lasting quality and continued success.
KIGAE NI ZEBRA
06/12/2025
Malizia nyumba ya ndoto yako kipindi hiki cha mwisho wa mwaka na zebra roofing tiles a premium product from ANDO.
Wasiliana nasi sasa; 0767 909 179
Karibu tukuhudumie, KIGAE NI ZEBRA
01/12/2025
Mwezi wa kumaliza malengo na kuweka paa lenye ubora wa hali ya juu kutoka Zebra tiles.
⠀
Bado hujachelewa! Maliza nyumba yako kabla ya mwaka kuisha na uanze 2026 ukiwa kwenye makazi salama na ya kisasa.
⠀
Kigae ni Zebra
📞 Tupigie sasa tukuhudumie. 0767 909 179
20/11/2025
Ezeka kifahari na kigae cha Zebra Tiles kutoka ANDO. 🏡
Premium quality, uimara wa kudumu na mwonekano unaovutia.
Kamilisha nyumba ya ndoto yako leo
wasiliana nasi sasa!
📞 +255 767 909 179
15/10/2025
Zebra tiles give your home lasting strength and luxury style
Tembelea Showroom zetu zilizopo nchini tukuhudumie;
Dar es Salaam Mikocheni 0767 909175,
Dar es Salaam HQ 0754 306445
Mwanza 0767 909258,
Singida 0765 407391,
Tunduma 0740 390540,
Moshi 0746 303842,
Morogoro 0762 138659,
Mbeya 0757 944826,
Geita 0769 524998,
Dodoma 0743 588483,
Zanzibar 0740 390535,
07/10/2025
Heri ya wiki ya huduma kwa wateja
Zebra tiles tunajivunia kukuhudumia katika kila hatua kwenye safari yako ya ujenzi.
Asante kwa kutuamini.
22/09/2025
EZEKA KISHUA NA ZEBRA TILES
havipati fangasi
havishiki moto
havipauki wala kuchubuka
havitoboki
vina miundo tofauti tofauti na machaguo mengi ya rangi za kuvutia kubwa kuliko vigae hivi vinapatikana kwabei nafuu sana.
Kwa maelezo zaiditupigie kwa numba +255 767 909 179
Pia fika ofisi zetu zilizopo MIKOCHENI karibu na makao makuu ya JKT
andotoyako
23/07/2025
06/06/2025
22/05/2025
Kigae ni Zebra
Kamilisha muonekano wa paa la nyumba yako na zebraTiles
21/05/2025
𝐙𝐞𝐛𝐫𝐚𝐓𝐢𝐥𝐞𝐬 𝐬𝐢𝐨 𝐭𝐮 𝐤𝐢𝐠𝐚𝐞 𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐥𝐢𝐬𝐢 𝐧𝐚 𝐬𝐮𝐥𝐮𝐡𝐢𝐬𝐡𝐨 𝐥𝐚 𝐦𝐮𝐨𝐧𝐞𝐤𝐚𝐧𝐨 𝐰𝐚 𝐩𝐚𝐚 𝐥𝐚 𝐧𝐲𝐮𝐦𝐛𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐮𝐤𝐢𝐞𝐳𝐞𝐤𝐚 𝐩𝐚𝐚 𝐥𝐚 𝐧𝐲𝐮𝐦𝐛𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐦𝐧𝐮𝐟𝐚𝐢𝐤𝐚 𝐰𝐚 𝐟𝐚𝐢𝐝𝐚 𝐥𝐮𝐤𝐮𝐤𝐢
*𝐕𝐢𝐠𝐚𝐞 𝐡𝐢𝐯𝐢 𝐡𝐚𝐯𝐢𝐩𝐚𝐭𝐢 𝐟𝐚𝐧𝐠𝐚𝐬𝐢
*𝐕𝐢𝐠𝐚𝐞 𝐡𝐢𝐯𝐢 𝐡𝐚𝐯𝐢𝐬𝐡𝐢𝐤𝐢 𝐦𝐨𝐭𝐨
*𝐕𝐢𝐠𝐚𝐞 𝐡𝐢𝐯𝐢 𝐡𝐚𝐯𝐢𝐩𝐚𝐮𝐤𝐢 𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐤𝐮𝐜𝐡𝐮𝐛𝐮𝐤𝐚
*𝐕𝐢𝐠𝐚𝐞 𝐡𝐢𝐯𝐢 𝐡𝐚𝐯𝐢𝐭𝐨𝐛𝐨𝐤𝐢
𝐯𝐢𝐧𝐚 𝐦𝐢𝐮𝐧𝐝𝐨 𝐭𝐨𝐟𝐚𝐮𝐭𝐢 𝐭𝐨𝐟𝐚𝐮𝐭𝐢 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐜𝐡𝐚𝐠𝐮𝐨 𝐦𝐞𝐧𝐠𝐢 𝐲𝐚 𝐫𝐚𝐧𝐠𝐢 𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐯𝐮𝐭𝐢𝐚
𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐥𝐢𝐤𝐨 𝐯𝐢𝐠𝐚𝐞 𝐡𝐢𝐯𝐢 𝐯𝐢𝐧𝐚𝐩𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚𝐧𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐛𝐞𝐢 𝐧𝐚𝐟𝐮𝐮 𝐬𝐚𝐧𝐚
𝐊𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐞𝐥𝐞𝐳𝐨 𝐳𝐚𝐢𝐝𝐢𝐭𝐮𝐩𝐢𝐠𝐢𝐞 𝐤𝐰𝐚 𝐧𝐮𝐦𝐛𝐚 +255 767 909 179
𝐏𝐢𝐚 𝐟𝐢𝐤𝐚 𝐨𝐟𝐢𝐬𝐢 𝐳𝐞𝐭𝐮 𝐳𝐢𝐥𝐢𝐳𝐨𝐩𝐨 𝐌𝐈𝐊𝐎𝐂𝐇𝐄𝐍𝐈 𝐤𝐚𝐫𝐢𝐛𝐮 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐤𝐚𝐨 𝐦𝐚𝐤𝐮𝐮 𝐲𝐚 𝐉𝐊𝐓
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mikocheni
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |
| Saturday | 08:00 - 14:00 |