Scripture Union Tanzania

Scripture Union Tanzania

Share

SERVING CHILDREN,YOUTH TO TRANSFORM FAMILIES AND WHOLE COMMUNITY

Photos from Scripture Union Tanzania's post 13/05/2026

Tunamrudishia sifa, utukufu na heshima Mungu Pekee yake kwa neema na ulinzi wake unaoendelea katika huduma ya kuwafikia watoto kwa mafundisho yenye kujenga maisha yao ya kila siku.

Tulipata nafasi ya kuwa katika Shule ya Msingi Amani tukifundisha masomo ya maadili, ambapo somo lililofundishwa lilikuwa “Usafi hufikiri mawazo mazuri.”

Tunaamini kuwa kupitia mafundisho haya watoto wataendelea kukua katika maadili mema, usafi na fikra chanya kwa ajili ya maisha yao ya sasa na ya baadaye. Tuendelee kuwaombea watoto hawa pamoja na kuiombea huduma ya SU ili Mungu azidi kuitumia kuleta mabadiliko mema katika jamii.

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Kalenga Street Upanga Dar Es Salaam Tz
Dar Es Salaam