Simusolar
Simusolar provides and finances accessible, affordable, and energy-efficient appliances designed for off-grid businesses in Sub-Saharan Africa.
31/07/2025
πΎSimusolar Nane Nane 2025 πΎ
Tunaibadili Kilimo Kwa Teknolojia!
Karibu utembele banda letu tukishirikiana na mashirika na wadau wakubwa wa kilimo kusaidia wakulima kote Tanzania.
Washirika Wetu Mwaka Huu:
β
TAHA
β
Holland Greentech
β
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji
β
Rikolto
β
Maua Mazuri..na wengine kibao!
Njoo Uone na Kufurahia:
Teknolojia mpya k**a APMs, pampu za maji kwa nishati ya jua na mengine mengi
Malipo kwa awamu kwa wakulima β rahisi na rafiki
Demos mubashara, ushauri kutoka kwa wataalam
Na ofa kabambe!
π Tutakuwepo Katika Viwanja Hivi:
π Arusha β Uwanja wa Njiro
π Morogoro β Viwanja vya Nane Nane
π Zanzibar β Dole Grounds
π Mwanza β Uwanja wa Nyamhongolo
π Dodoma β Uwanja wa Nzuguni
π Mbeya β John Mwakangale Grounds
π Simiyu β Viwanja vya Nyakabindi
π Usikose kutembelea banda letu β suluhisho la kisasa kwa kilimo chenye tija linakusubiri!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the business
Website
Address
Dar Es Salaam
14112
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |