PRAM Limited
PRAM is a Tanzania records management consultancy firm that specializes in enterprise document manag
01/06/2017
INVITATION FOR ELECTRONIC RECORDS MANAGEMENT TRAINING.
05/01/2017
WORKSHOP: MINISTRY OF WORK, TRANSPORTAND COMMUNICATION
JANUARY, 2017 MOROGORO.
PRAM ASSOCIATE WITH TPSC.
30/12/2016
PRAM is a real Partner: Associate with Records Management Foundation for Africa (RIMFA) in 23rd Conference.
12/10/2016
Training on Records Management
Coming Soon......
Tatizo la watanzania wengi wanapenda kunyenyekewa(kuwa juu kumiliki kila kitu) na wengine upenda kunyenyekea (Kuwa chini kwa kuwa hawawezi) yote hayo ni dalili ya kutokujiamini kwa nafasi mtu aliyokuwa nayo.
"Ni vigumu kulisukuma gari lililo feli breki au kosa nguvu ya kupanda mlima ila ni rahisi kulivuta gari ili liweze kupanda mlima" Nakuja kwenye hualisia
Huwa baathi ya viongozi, watu wenye nafasi au waliofanikiwa husahau walipotoka, wameacha watu wangapi nyuma yao wakiitaji msaada kutoka kwao na wana zamana gani kwa mamlaka walio nayo.
Chunguza kwa nafasi yako umetoka wapi, unaenda wapi, nani ni msaada kwako na umefanyiwa mangapi kwakuwa wao wako mbele yako.
Kumbuka: Usisubiri ufanyiwe kitu ndipo ujue una umuhimu fanya kitu kwakuwa ulichonacho kina umuhimu.
"Jijali, Jiamini na Jithamini kwa kuwa una umuhimu kwa nafasi yako"
"People do not actually do their best when trying to do their best"....Do you best to be the best one!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
P. O. Box 62035
Dar Es Salaam