TAMBA General Enteprises
Tunahusika na real estate. kuuza na kupangisha nyumba, apartment,
mashamba, yard, godawn, viwanja, Beach plot, Petrol station, shule na viwanda.
18/06/2018
NYUMBA INAUZWA MILIONI 150
Ina vyumba vitatu(3) vya kulala, kimoja master, sebule kubwa na dining. fensi, nyumba ipo Tabata Kinyerezi.
OFISI ZETU ZIPO MACHINGA COMPLEX GHOROFA YA 4
Simu: 0719 471212 / +255783270643 & 0765546823
MAKAZI BORA NI AHADI YETU KWAKO
18/05/2018
NYUMBA INAUZWA MILIONI 30
Ina vyumba vinne(4) vya kulala, kimoja master, sebule, jiko kubwa na choo cha public ndani.
OFISI ZETU ZIPO MACHINGA COMPLEX GHOROFA YA 4
Simu: 0719 471212 / 0683147406 & 0765546823
MAKAZI BORA NI AHADI YETU KWAKO
07/05/2018
BANDA LINAUZWA MILIONI 35
Lina vyumba vitatu(3) na fremu ya duka moja. Umeme upo, maji yapo karibu. Banda lipo kwenye mtaa uliopangwa ukubwa sqm 800 na lina HATI MILIKI. Bandalipo mbagala kipati kwa mungaya.
OFISI ZETU ZIPO MACHINGA COMPLEX GHOROFA YA 4
Simu: 0719 471212 / 0683147406 & 0765546823
MAKAZI BORA NI AHADI YETU KWAKO
28/04/2018
NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA MILIONI 250
GROUND FLOOR Ina vyumba vitatu(3) vya kulala, kimoja master, sebule kubwa na dining. Jiko, stoor na public toilet. 1st FLOOR kuna vyumba viwili, subule na public toilet. Tiles nyumba yote, ndani ya eneo la mita mraba 2000. Nyumba ina HATI MILIKI. Ipo Mbweni
OFISI ZETU ZIPO MACHINGA COMPLEX GHOROFA YA 4
Simu: 0719 471212 / 0683147406 & 0765546823
MAKAZI BORA NI AHADI YETU KWAKO
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Lindi Street
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 18:00 |
| Tuesday | 08:00 - 18:00 |
| Wednesday | 08:00 - 18:00 |
| Thursday | 08:00 - 18:00 |
| Friday | 08:00 - 18:00 |
| Saturday | 08:00 - 18:00 |
| Sunday | 08:00 - 18:00 |