Silicon Lab

Silicon Lab

Share

Silicon Lab ni maabala inayohusika na kutengeneza na kuuza aina zote za vifaa vya simu na kompyuta

13/02/2026

Apple haijathibitisha rasmi tarehe ya kutolewa ya iPhone 18 pro na 18 pro Max, lakini kulingana na taarifa za tovuti ya upelelezi ya soko, kuna mawazo makuu kuhusu lini na jinsi itakavyokuwa bora zaidi kuliko iPhone 17 ;

📌 iPhone 18 Pro na Pro Max (na foldable mpya) — inatarajiwa kutolewa 2026, kawaida Septemba. Hii ni sawa na ratiba ya miaka yote ya kuachiliwa kwa bidhaa ya Apple kwa modeli zake za juu.

Hizi ni baadhi ya vitu vinavyosemwa kuonekana kwenye iPhone 18 (hasa Pro/Pro Max):
⚡ Processor mpya:
🔹 Itatumia A20 chip mpya, yenye ufanisi wa hali ya juu, na uwezo wa AI kuliko A19 iliyopita.
📸 Kamera:
🔹 Modi ya Pro inaweza kupata variable-aperture camera — hii inaruhusu lens kubadilisha ukubwa wa aperture, na kufanya picha kuwa bora zaidi hasa kwenye mwanga mdogo (usiku) na mwanga mwingi

Pia Kwa mara ya kwanza Apple inatarajiwa kutoa model ya foldable, pia k**a sehemu ya familia ya iPhone 18.

Karibu kwa ajili ya ;
Kubadilisha vioo vya simu aina zote Original Quality
Kubadilisha betry za simu aina zote zenye uwezo mkubwa
Namba zetu ni 0764111116.

31/12/2025

Kwa Washirika wetu na wateja wetu Mhimu, kwa niaba ya Team nzima ya , nichukue nafasi hii kuwatakia Kheri ya Mwaka Mpya wa 2026 Ukawe Mwaka wa Baraka na Mafanikio zaidi na Utajiri wa Afya na Uchumi. Tunashukuru kwa kuendelea kufanya kazi na sisi, tunaomba radhi pale tulipopungua na tuna ahidi Kuboresha zaidi Huduma zetu pale tulipopelea.
Wewe ni wa Mhimu sana kwetu, 2026 Safari ikawe Salama yenye mafanikio Makubwa
==============////
[庆祝]2026新年快乐!祝我们所有合作伙伴,新的一年生意兴隆,财源广进,万事顺意,六六大顺!携手同行,共赢新程✨
===============/////
Happy New Year 2026! Wishing all our partners a prosperous business, abundant wealth, smooth journeys and great success in the new year. 2026, all the best!
=========//////////////

26/06/2025

0764 111116- 📲
the lip case + lip tints kuanzia iPhone 11 hadi iPhone 14 bei ni Tsh 20,000 tu !!
Ukichukua 3pcs utalipia 40,000 tu ! Unaruhusiwa kuchanganya rangi 🔥
💎 Mikoani tunatuma
Tupo Kariakoo mtaa wa Masasi , Delivery ipo mpaka ulipo.Karibuni sana

Want your business to be the top-listed Engineering Company in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Mwenge
Dar Es Salaam
11000

Opening Hours

Monday 09:00 - 20:00
Tuesday 09:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 20:00
Sunday 11:00 - 20:00