Football Updates

Football Updates

Share

✅Taarifa za soka la bongo
✅Tathmini za wachezaji
✅ Historia za wachezaji
✅Uchambuzi wa mechi za Yanga SC

03/06/2026

Kiungo wa Yanga SC, Allan Okello amekabidhiwa medali 🥇 yake ya ubingwa ligi kuu ya Uganda ambao klabu yake ya zamani, Vipers imeutwaa..

Okello alichangia magoli 03 na assist 03 kwenye mechi 06 kabla ya kusajiliwa na Yanga kwenye dirisha dogo..

Abdulkarim Watambala ambaye ni MVP wa ligi kuu ya Uganda msimu huu ndiye aliyempelekea medali hiyo Star Boy walipokutana kwenye kambi ya timu ya taifa..

Star Boy 🥇

31/05/2026

Wakati Young Africans wakitajwa kuwa kwenye mchakato wa kuipata saini ya winga kinda mwenye ufundi wakutosha, Juma Issa Abushiri kutoka Fountain Gate, pia taarifa zaidi zinaeleza kuwa vilabu kutoka bara la Ulaya ikiwemo klabu ya Malmo vinamfuatilia kwa ukaribu kinda huyo..

Malmo wanatajwa kumhitaji kwaajili ya majaribio kisha wakiridhika na kiwango chake watampa mkataba rasmi..

Fountain Gate..... Gate way to Europe 📌

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


Dodoma