JADO
🌿 Natural Handmade
📲 +255 758 562 820
🛍️Products: > Hair Growth Oil • Powder • Body Oil • Water • Soap • Facial Mask • Scrub • Petroleum Jelly
✨ JADO BEAUTY & CARE PRODUCTS ✨
🌿 Urembo wa asili kwa mwili, uso na nywele 🌿
Tunajali uzuri wako kuanzia kichwa hadi miguuni 💚
JADO imekuandalia bidhaa bora kwa matumizi ya kila siku:
✔️ Hair Growth Oil – Hukuza na kuimarisha nywele
✔️ Body Oil – Hufanya ngozi iwe laini, yenye mvuto na kung’aa
✔️ Powder – Hulinda na kufanya ngozi iwe fresh muda wote
✔️ Soap – Husafisha ngozi na kuipa afya
✔️ Water – Husaidia ngozi kuwa na unyevunyevu na glow
✔️ Facial Mask – Hurejesha uhai na uzuri wa uso
✔️ Scrub – Huondoa uchafu na ngozi mfu
✔️ Petroleum tJelly – Hulainisha na kulinda ngozi na midomo
🌸 Chagua JADO, chagua urembo wa asili na matokeo ya kweli 🌸
📞 Piga/WhatsApp: 0758 562 820 🇹🇿
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Ntyuka
Dodoma