YC Updates

YC Updates

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from YC Updates, Sports, Dodoma.

31/12/2021

๐‚๐‡๐”๐Š๐”๐€ ๐‡๐ˆ๐ˆ ๐Š๐”๐“๐Ž๐Š๐€ ๐Š๐–๐€ ๐Œ๐ƒ๐€๐”

โžชKuna kamjadala kanatembea huko mitandaoni juu ya ubora wa makipa wawili Manula wa Simba na Diarra wa Yanga. Nani bora? Nani anastahili kujifunza kwa mwezake?
โžชHaya ndiyo maswali wanayojiuliza watu wengi. YES ni maswali fikirishi. Wote ni makipa bora Mosi. Pili sidhani k**a Aishi ana cha kujifunza kwa Diarra au Diarra ana cha kujifunza kwa Aishi.
โžชWote wana safari ndefu, lakini kuna sehemu Manula yuko Diarra hayuko.
โžช Simba na Taifa Stars zimemtangaza Manula kwa kiasi kikubwa. Kitendo cha Simba kucheza robo fainali mbili ndani ya miaka minne kimemfanya ajitangaze Afrika, sio kwa jina lake. Bali uwezo.
โžช Nchi nyingi zinamjua Aishi. Diarra ni moja ya makipa mahiri walioko katika soka letu kwa sasa. Huu ni ukweli usiopingika, lakini anapaswa kufanya kazi. Atuonyeshe k**a ambavyo Aishi ametuonyesha na anatuonyesha katika mechi za ligi na mechi za kimataifa.
โžชAishi amewahi kwenda Misri na Simba akachukua 5-0. Amewahi kwenda Congo na Simba akachukua tena 5 -0 nyingine. Vipigo hivyo vimemuimarisha kwa kiasi kikubwa.
โžช Tunataka kumuona Diarra katika level hizi, sio mtu atuambie moja kwa moja Diarra ni bora kumzidi Aishi. Katika taifa la Mali ambalo ni kubwa kuliko letu Diarra ni kipa namba mbili. Aishi ni namba moja wa Tanzania.
โžชHatujui k**a Diarra angekuwa Mtanzania au Manula angekuwa M'mali nini kingetokea kati yao kwenye lango. Manula ana uzoefu mkubwa wa kusimama langoni dhidi ya washambuliaji mahiri wakubwa wa Afrika.
โžชUzoefu wa Diarra anaupata katika benchi. Japo hili sio la kubeza. Inawezekana Diarra angekuwa Mtanzania huenda ndiyo angekuwa ndiyo Tanzania One. INAWEZEKANA.
โžชNadhani Watanzania hatupaswi kujipa presha ya kuwafananisha hawa makipa wawili. Diarra anatakiwa kufanya sana kazi ndiyo tuje katika meza ya ubishani.
โžช Aliko sasa Manula haitaji tena maswali. Amefanya kazi kubwa na kila mmoja wetu ameiona. Kina Metacha, Haroun Mandanda, M***a Mbise na wengineo ndiyo wanapaswa kujifunza kwa Diarra, sio Manula.
โžชKama Manula anataka kujifunza kitu awatazame kina Mohammed El Shanawy, Dennis Onyango, Sharrif Ekramy, Ithumeleng Nkune, lakini sio Diarra.
โžชUkiona umesoma kisha hujaelewa, hii haikuhusu wewe.

๐“๐ž๐ฅ๐ž๐ ๐ซ๐š๐ฆ ๐ ๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐ƒ๐ข๐›๐š๐ก๐’๐ฉ๐จ๐ซ๐ญ๐ฌ๐๐ž๐ฐ๐ฌ
https://t.me/+0FTKPrSsKA41YmRk

Photos from YC Updates's post 01/04/2021

Kamata vichwa vya Magazeti ya kimichezo leo April 1,2021

updates

04/03/2021

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA DHIDI YA COASTAL UNION LEO

updates

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Dodoma