Machinga Dodoma

Machinga Dodoma

Share

hili no jukwaa la wewe Mtanzania kuweza kuuza na kununua bidhaa ndani na nje ya DODOMA ,Karibu.

29/01/2026

With Fadlan โ€“ I just made it onto their weekly engagement list by being one of their top engagers!

31/12/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Jovic Mbones, Peter Peter John

23/08/2023

Hivi hii kitaalamu mnaitaje?

20/04/2023

BIASHARA ZINAZOHITAJI MTAJI KIDOGO KWA FAIDA KUBWA NA NZURI KWA MUDA MFUPI

Biashara zingine ambazo zinatumia mtaji mdogo lakini faida yake inakuwa nzuri ni k**a vile

1. Kuuza matunda k**a vile matikiti๐Ÿ‰๐Ÿ unanunua tikitiki unakata kipande mia tano kwa mia mbili

2.kufungua mgahawa wa chakula ๐Ÿž๐Ÿฒ๐Ÿœ๐Ÿซ–๐Ÿฎ๐Ÿ˜‹

3.kuuza viungo mbalimbali vya chakula (spice) k**a vile vitunguu,tangawizi,karoti,nyanya n.k๐Ÿ…๐Ÿฅ•๐Ÿง…๐Ÿง„๐ŸŒถ

4.kuanzisha biashara ya kuchoma mahindi๐ŸŒฝ๐ŸŒฝ ambapo takribani asilimka ya watu wengi sana wanapenda kununua mahindi ya kuchoma ,pamoja na kuuza miwa

5.biashara ya vitafunio k**a vile maandazi๐Ÿž,vitumbua,sambusa ,mihogo ya kukaanga na kupika na n.k

6.biashara ya kutengeneza na kuuza juice ya matunda mbalimbali

Na zingine mbalimbali ntazidi kuwapa maujuzi zaidi๐Ÿค—๐Ÿ˜
Usisahau tu baadae ntaendelea kuwapa mbinu za kuzingatia kabla ya kuanzisha biashara yako ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š KARIBU SANA HII SI YA KUKOSA WAPENDWA

and k**a unahitaji kuona mambo mazuri zaidi ya kufanya biashara yako kuwa strong zaidi๐Ÿ’ž๐Ÿค—๐Ÿ˜

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Dodoma