VIX Creatives
Feel Free to contact us Anytime.
23/06/2025
๐จ Brand Identity vs Logo: Hii ndio Tofauti Inayobeba Mafanikio ya Biashara Yako!
Wajasiriamali wengi hudhani kuwa na Logo Pekee inatosha...Lakini ukweli mchungu ni huu๐
๐ Logo ni uso wa biashara yako, LAKINI brand identity ni utu mzima wa chapa yako โ unahusisha kila kitu kinachojenga imani kwa wateja:
โ
Logo Yenyewe
โ
Rangi
โ
Fonti
โ
Kauli mbiu
โ
Ujumbe wa chapa
โ
Haiba ya biashara yako N.k..
๐ Bila hivyo vyote โ biashara yako haionekani kitaalamu, haikumbukwi, na inashindwa kushawishi na Haya ndio MATOKEO yake;
๐ Wateja hawawaamini.
๐ Mauzo yanayumba.
๐ Chapa inakosa mwelekeo na mwendelezo.
๐ค Fikiria Coca-Cola, Nike, Apple...
Hawakufanikiwa kwa logo tu โ waliwekeza kwenye brand identity imara inayohisiwa kila mahali.
๐ซ Usibaki na logo tu.
โ
Jenga chapa inayokumbukwa, inayoaminiwa na inayouza kwa urahisi.
๐ก Unataka watu wakupende, wakukumbuke, na wanunue bila kushawishiwa?
โ๏ธ Jibu siyo logo mpya, ni brand identity yenye msingi thabiti.
๐ฉ DM sasa au andika "BRAND" kwenye inbox upate consultation ya bure ya brand identity yako.
๐Ili Tuanze leo kujenga chapa inayovutia, kuuza, na kukua kila siku!
Credit Ig:.creatives
17/06/2025
Jinsi Tulivyofanikiwa Kuipa Thamani Chapa ya Masai Lodge & Bar๐ฅ๐
Miezi Michache iliyopita Tulipata Nafasi ya kufanya Kazi na Mmiliki wa Brand ya Masai Lodge & Bar, Wakati anawasiliana Nasi kiu yake kubwa ilkuwa kupata Nembo ambayo itawakilisha vyema Thamani ( values) na tamaduni za kimasai huku ikiwakilisha vyema Biashara Yake!
Baada ya Kupata Taarifa Muhimu za Biashara Yake Tulitengeneza Concepts 3 za Nembo. Kati ya hizo 3 mojawapo ilishinda
Haikushinda kwasababu ilkuwa ni Nembo tu bali ilkuwa ni Nembo inayotoa hadithi na Thamani ya Chapa ...
...Na Hii ndio Maana Halisi ya Nembo Hii
Logo hii imebuniwa kwa ustadi kwa kuunganisha ngao (shield) ya Kimasai, mikatale (spears) na mapambo ya shingoni ya asili ya Wamasai (necklaces).
Kila kipengele kina ujumbe halisi ukiwakilisha thamani na tamaduni za Kimasai na Huduma za Lodge & Bar
1๏ธโฃNgao na Mikuki: Zinawakilisha ulinzi, nguvu na urithi wa kitamaduni, kuashiria kuwa wageni wako katika mazingira salama, yenye historia na heshima ya kiutamaduni.
2๏ธโฃMapambo ya Shingoni (Necklaces) : Yanawakilisha uzuri wa jadi, fahari na utambulisho wa Wamasai, yakiongeza mvuto wa kisanaa unaolingana na haiba ya Zanzibar
3๏ธโฃFonti yenye mvuto wa urithi: Neno "Masai" limeandikwa kwa aina ya maandishi ya kifahari lakini ya kirafiki, yakionyesha mchanganyiko wa ukalimu wa Kiafrika na uzoefu wa starehe wa kisasa.
Nembo hii ni rahisi, ya kipekee, inakumbukika, na inaonyesha wazi utambulisho wa Masai Lodge & Bar k**a sehemu ya burudani, mapumziko na urithi wa kitamaduni...Je, unahitaji Msaada watu wa Kutengeneza Chapa yenye hadithi inayoishi na alama isiyosahaulika Kwa Walengwa wako ?
Tuma neno โBrandโ leo, ili tuipe chapa yako mwonekano wa kisasa, wa kipekee na unaouza!
๐ Credit: .creatives
03/02/2025
Unataka Biashara au Kampuni Yako Ionekane Kitaalamu zaidi? Aina hii ya Logo ndio Jibu...๐ฅ๐
Moja ya Changamoto kubwa huwร naipitia katika Huduma yetu ya Kubuni Logo au Utambulisho wa Chapa ni pale mteja wetu anaposhindwa Kuelewa anahitaji Logo ya aina Gani au Logo Ipi ni sahihi kwa ajili ya Biashara au Kampuni Yake!
Leo nimekuandalia Makala Fupi ambayo itakusaidia Kuelewa aina ya Logo inayofaa katika Biashara Yako ๐
Logo ni utambulisho wa biashara yako! ๐ Lakini je, unajua kuna aina tofauti za logo zinazoweza kufanya chapa yako ionekane kitaalamu na kuvutia wateja? ๐ค๐ก
Hizi Hapa ndio aina kuu 7 za Logo, Chagua Moja inayofaa katika Biashara au Kampuni Yako ๐ฉ
๐น Minimalist Logo โ Rahisi, safi na ya kisasa.
๐น Mascot Logo โ Ina uhai na lakini haikumbukwi kirahisi.
๐น Lettermark Logo โ ni Bora Bora kwa majina marefu.
๐น Combination Mark โ inatumia Mchanganyiko wa icon na maandishi.
๐น Wordmark Logo โ Inatumia jina la biashara kwa ubunifu.
๐น Abstract Mark Logo โ ya Kipekee na yenye maana ya kina ya kufikirika
๐น Emblem Logo โ Ina muonekano wa kifahari na wa kihistoria.
๐ฌ Je, ni ipi inayokufaa? Tuambie katika comment โฌ๏ธ au tutumie Ujumbe wa Moja KWA Moja (DM) ๐ฉ ili tukusaidie kutengeneza logo bora kwa ajili ya biashara/Kampuni yako! ๐ฅ
Credit Ig: .creatives
๐
17/01/2025
Nsekera Fintech Solutions Logo and /or Brand Identity Designโ๏ธ.
Siku chache Zilizopita Boss alitutafuta akihitaji Logo kwa ajili ya Biashara Yake!
Boss alihitaji Logo ya kipekee, isiwe na mambo mengi na ambayo itaweza Kutumika k**a icon na kukaa kwenye Kofia..
Jina la Biashara yake lilikuwa NSEKERA CASH POINT lakini kwa kuwa jina Hili limezoeleka, Common ( CASH POINT) Tulishauriana kuja na Jina la Kipekee na ambalo litaendana na maono ya Sasa na Badae katika Brand Yake!
Baada ya siku Kadhaa za Utafiti na Ushauri wa Hapa na Pale tulikuja na jina la NSEKERA FINTECH SOLUTIONS likiwa na Maana ya Huduma za Kifedha(Miamala) na zinazohusisha Teknlojia k**a Cryptocurrency n.k
N:B: KWA kuwa Biashara ya Cryptocurrency haijarasimishwa Tanzania Basi logo yetu haikupaswa kuwa na ishara yeyote ya Cryptocurrency au zinazohusiana...
Kazi ikaanza rasmi na Hapo ndipo tukatengeneza Concept 2 za Logo na Hii Concept ndio IKAPITAโ
Karibu Ujionee Maana ya Logo na Ikiwa katika Matumizi ( Brand In Action)
Je , unahitaji Msaada au Huduma zetu za Utengenezaji Logo au Utambulisho wa Chapa wa Biashara au Kampuni Yako?
Wazi Nasi Leo Tukuhudumie kwa Kubonyeza Link ya WhatsApp katika Bio๐ฉ
Au Piga simu๐:+255 753 744 699
Credit Ig :.creatives
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
Dodoma
Opening Hours
| Monday | 06:00 - 22:00 |
| Tuesday | 06:00 - 22:00 |
| Wednesday | 09:00 - 22:00 |
| Thursday | 06:00 - 22:00 |
| Friday | 06:00 - 22:00 |
| Saturday | 06:00 - 18:00 |