Topindom Real Estate Agent
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Topindom Real Estate Agent, Real Estate, Dodoma City, Dodoma.
19/05/2026
Hongera sana Dkt. Brown Abel Mwakipesile! 🙏
Kwa moyo wa shukrani na furaha tele, tunakupongeza kwa kutunukiwa rasmi hadhi ya Uprofesa wa Heshima (Honorary Professorship in Divinity) kutoka Harvest Mission International, Texas, Amarillo, U.S.A. tarehe 17/05/2026.
Ni neema kubwa kuona mtumishi wa Mungu na Askofu Mkuu wa EAGT akitambuliwa kimataifa kwa mchango wake katika huduma ya Injili na jamii kwa ujumla.
Tunaamini Mungu aliyekuinua ataendelea kukuongezea hekima, upako na neema zaidi ili kuendelea kuhubiri Injili na kugusa maisha ya wengi.
Hongera sana Profesa! Mungu aendelee kukutumia kwa utukufu wake. ✨
UfalmeTV
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Dodoma City
Dodoma
25554