Simplee_tz

Simplee_tz

Share

Kwa habari za wasanii na burudani LIKE page hii!!

29/05/2026

Madeleka anaamia Chadema, anasubiri mikutano ya Dar ya Chadema.
Anataka kugombea jimbo la Tabora mjini 2030 hivyo anaamini karata yake iko Chadema.

Na ndio maana mnamuona anajifanya yuko deep na 29 October kwasababu anataka mumuone anauchungu kumbe anatumia hiyo iwe karata yake! Shida hawa wanasiasa kwasasa wanaitumia situation ya 29 October ili kupata approval ya wananchi.

Tuko hapa tunasubiri,!

29/05/2026

KWA HIYO MAREKANI YEYE ANAJIONA NANI? YAANI MAISHA YA WATU WAKE NI BORA KULIKO WAKENYA NA WAAFRIKA KWA UJUMLA? MGONJWA WA EBORA ANAKUTWA MAREKANI ANAKUJA KUZIKWA KENYA AISEE HII KITU HAPANA KABISA KWA HIYO MAREKANI ANATUONA SISI MAMBUZI YAANI

29/05/2026

Ukiambiwa serikali ni LIDUDE LIKUUUBWA hivi inabidi mtu awe anaelewa.

Sasa jamaa alijiona ni mtemi kuliko mamlaka kiko wapi sasa?

Huenda funza walishalitimiza jukumu lao kitambo mno.🤣😂🤣

28/05/2026

SASA SUGU ANAMKE AU ANA MALAYA TU.. WENYE WAKE NI K**A MBOWE WAMETULIA MA KWAO.. SUGU MALAYA ANAYEZUNGUKA USIKU KUCHA KWENYE MACLUB

Want your organization to be the top-listed Government Service in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Dodoma