Choice Wellness Center

Choice Wellness Center

Share

Health Coach & master herberlist

29/12/2023

🟩Je unafahamu kuhusu SAUNA na faida zake❓

Sauna ni Chumba kichosanifiwa k**a sehemu ya kupata joto la mvuke.Mtu anapokua katika chumba cha sauna hutokwa jasho jingi sambamba na faida kadhaa.

FAIDA ZA SAUNA NI K**A ZIFUATAVYO:

1️⃣Husaidia kuondosha sumu mwlini kwa njia ya jasho
2️⃣Huimarisha afya ya ngozi
3️⃣Husaidia kupunguza msongo wa mawazo
4️⃣Huondoa maumivu ya misuli pamoja na viungo.
5️⃣Husaidia kuimarisha afya ya ubongo.
6️⃣Husaidia kurekebisha pressure.
7️⃣Husaidia kupata usingizi kwa wenye changamoto ya kukosa usingizi
8️⃣Husaidia kupunguza uzito
9️⃣Husaidia kuimarisha mfumo wa upumuaji pamoja na kuleta nafuu kwa wale wenye changamoto kwenye njia ya upumuaji.
🔟Huimarisha kinga ya mwili hivyo hupunguza kasi ya magonjwa nyemelezi
🔵Pamoja na faida nyingine nyingi

ℹKwa maelezo zaidi/maswali piga simu namba 📞 0784144385

Bei ni Tshs 10,000/= (unlimited time)

CHOICE WELLNESS CENTER.
Arusha,Ngusero karibu na Arusha city bar/Choice health laboratory

SAUNA|CUPPING & HIJAMA|FACIAL CARE|HOLISTIC APPROACH|HERBAL DRUGS

Want your practice to be the top-listed Clinic in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Dodoma

Opening Hours

Monday 08:00 - 21:00
Tuesday 08:00 - 21:00
Wednesday 08:00 - 21:00
Thursday 08:00 - 21:00
Friday 08:00 - 21:00
Saturday 08:00 - 21:00
Sunday 08:00 - 21:00