Ram Agr Inputs

Ram Agr Inputs

Share

ram agr inputs is a supplier and supplier of agricultural inputs to all growers and traders. Our products are wholesale and retail and cheap.
0655047098

31/07/2023

Kwa wale wenye uhitaj wa mbegu za DEKALB.Nazingine nyingi zinapatikikana kwa bei za jumla na reja reja kwa mawasiliano zaid piga simu no 0753 221 513 or 0656525050

Photos from Ram Agr Inputs's post 12/10/2022

DEKALB VUNAMAFANIKIO
Kwawalio kuwa wanauliza mbegu ya mahindi ya DK 80 31 NOW zimefika k**a unavyoona hapo ninying kwamacho but nichache saana kwawanaohitaj mnakalibishwa saana location DODOMA AND MOROGORO kwa wenye uhitaj weka oda yako mapema kwanamba ya ofice 0784578922
Or. Official no 0656525050. Ipo hewan mda wote but isipokiwa juma pili tu siyo siku ya kaz kabisa bei zetu ni jumla na reja reja
BEI ZA JUMLA NI K**A IFUATAVYO
1. DK 80 31. 2KG 12200
2. DK 90 89. 2KG 12300
3. DK 777. 2KG 12500
Note. Hizo ndio mbegu zilizopo stock no zingine k**a dk 80 33 hatupo nazo karibuni saana

Photos from Ram Agr Inputs's post 16/09/2022
Photos from Ram Agr Inputs's post 16/09/2022

Kwa wale wapenzi wa mbegu za DEKALB zinapatikana kwa bei za jumla na reja reja,dodoma, morogoro plus singida. Pia mikoa mingine tunaagiza kwa uaminifu mkubwa bei zetu DK 80 31, DK 80 33, DK 90 89, DK 777. Zote zinapatikana k**a unavyo ona hapo karibun saaana
Kwa mawasiliano zaid office no 0784578922 or 0656525050 zote ,ipo whatsapp .

15/07/2022

Pump ndo zipo design hiyo kwawale wenye uhitaj waweza qasilian nas kwanamba 0784578922

Want your business to be the top-listed Business in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Nzugun
Dodoma