GRACIOUS_Chuo Cha urembo Dodoma

GRACIOUS_Chuo Cha urembo Dodoma

Share

GRACIOUS beauty care Inatoa mafunzo kwenye masuala ya urembo kwa Ada nafuu sana, WOTE MNAKARIBISHWA

22/07/2023

__GRACIOUS BEAUTY CARE__
BADO TUNAENDELEA KUPOKEA WANAFUNZI WAPYA
KARIBU UJIFUNZE MAMBO YOTE YA SALOON KWETU
MAFUNZO NI KWA VITENDO💯💯
MAFUNZO NI UHAKIKA💯
, AJIRA NI UHAKIKA💯💯
JE UNAPENDA FANI YA USUSI NA UREMBO NA HUJUI UTAANZIA WAPI? KARIBU UJIPATIE UJUZI ENDELEVU KUTOKA KWETU UTAKAO KUSAIDIA KUJIAJIRI AMA KUAJIRIWA

Whatsapp/Tupigie #0717001081 au 0767752567

TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO:
1. KUSUKA MITINDO YOTE YA NYWELE yebo, knotless,crochet hair n.k na mitindo yote mipya
2.utajifunza mibano ya nywele mitindo yote ya kumbana bi harusi n.k
3.utajifunza make up Aina zote, simple make up, full make up, bridal make up

4.pia Utajifunza kubond na kushonea weaving ndefu na fupi na kutengeneza wigs za crochet kwa kutumia rasta

MAFUNZO NI MIEZI MITATU TU KWA ADA YA TSh 300,000 /= Na Kwa mafunzo ya mwezi mmoja Ada yake ni TSh 200,000

PIA HOSTEL ZIPO KWA WANAOTOKA MBALI

FOMU ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA KWA CHUONI

Kwa maelezo zaidi tupigie/whatsapp kupitia no. 0717001081
Tunapatikana NKUHUNGU DODOMA

GRACIOUS beauty care kwa mafunzo ya uhakika

UREMBO NI AJIRA 🙏🙏🙏

21/07/2023

Darasa la make up liko🔥🔥🔥
Mafunzo ni uhakika💯
Ajira ni uhakika💯

Bado tunaendelea kupokea wanafunzi
Dirisha la usajili bado lipo wazi
Call/whatsapp #0717001081 au 0767752567

20/07/2023

__GRACIOUS BEAUTY CARE__
KARIBU UJIFUNZE UREMBO KWETU 👌
MAFUNZO NI KWA VITENDO💯💯
Dirisha la usajili bado LIPO WAZI, karibu sana ujiunge na sisi🙏
MAFUNZO NI UHAKIKA, AJIRA NI UHAKIKA💯💯
JE UNAPENDA FANI YA USUSI NA UREMBO NA HUJUI UTAANZIA WAPI? KARIBU UJIPATIE UJUZI ENDELEVU KUTOKA KWETU UTAKAO KUSAIDIA KUJIAJIRI AMA KUAJIRIWA

Whatsapp/Tupigie #0717001081 au 0767752567

TUNATOA MAFUNZO YA UREMBO KWETU UTAJIFUNZA YAFUATAYO
1. KUSUKA MITINDO YOTE YA NYWELE yebo, knotless,crochet hair n.k na mitindo yote mipya
2.utajifunza mibano ya nywele mitindo yote ya kumbana bi harusi n.k
3.utajifunza make up Aina zote, simple make up, full make up, bridal make up

4.pia Utajifunza kubond na kushonea weaving ndefu na fupi na kutengeneza wigs za crochet kwa kutumia rasta

MAFUNZO NI MIEZI MITATU, NDANI YA MIEZI MITATU UTAKUA UMESHAJUA KILA KITU CHA MSINGI NI JUHUDI ZAKO ZA KUFANYA MAZOEZI💪💪

Ada ni TSh 300,000 kwa miezi mitatu
Mwezi mmoja ni TSh 200,000

PIA HOSTEL ZIPO KWA WANAOTOKA MBALI

FOMU ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA KWA CHUONI

Kwa maelezo zaidi tupigie/whatsapp kupitia no. 0717001081
Tunapatikana DODOMA

Karibuni sana GRACIOUS beauty care kwa mafunzo ya uhakika

UREMBO NI AJIRA 🙏🙏🙏

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Dodoma