Jilinde na Kujikinga
#AfyaWanawakenawanaume
~Suluhisho la kudumu kwa kutumia #virutubisho_lishe
~Boresha Afya kabla
22/05/2025
Usiweke Vidole Ukeni.
Wakati wa kuamka asubuhi mara nyingi utakuta nguo yako ya ndani imelowa au ina uteute umegandia kwenye nguo, unaweza kuwa na kiharufu au la...
Hali hii ni ya kawaida kwa sababu uke ni moja ya kiungo cha mwili ambacho hujisafisha chenyewe bila kuhitaji msaada wowote.
Wanawake hushambuliwa na fangasi, huwa na miwasho ukeni, uke kutoa shombo na magonjwa kadhaa kwa sababu ya kushindwa kuchukua tahadhari juu ya vitu vidogo vidogo k**a hivi.
Mfano, kushindwa kuchamba uke kwa maji mengi baada ya kukojoa, kutobadili nguo ya ndani mara kwa mara, kukaa na pedi muda mrefu, kuweka viunga uke (manukato n.k) jambo ambalo husababisha kuondoa bakteria wanaoulinda uke dhidi ya magonjwa hivyo uke huanza kushambuliwa na fangasi kwa kasi na ndio chanzo cha malalamiko ya wengi kusema U.T.I yangu haiponi, muwasho hauishi hata nitumie dawa bado unarudi, P.I.D sugu n.k kwa sababu uke ushapoteza kinga yake asili
Jambo kubwa zaidi wengi tunaweka vidole ukeni hii kiafya sio nzuri kwa sababu kuingiza kidole mara kwa mara na kunyofoa ute ute ndani ya uke, kidole huondoa hata wale bakteria wazuri wanaokuwa karibu na mlango wa uke wakilinda njia ya uke isishambuliwe na bakteria au fangasi wabaya.... Mbaya zaidi ni pale unaweka kidole ambacho huna uhakika k**a ni kisafi, kinaweza kubeba bakteria wabaya ambao huenda kushambulia mlango wa uke moja kwa moja.
• Nauliza swali kidogo,,,,, hivi ule mchezo wa mwanaume kukuingizia vidole ukeni huwa unahakikisha usafi wa mikono yake? Kucha zinakuwa zimekatwa na hazina uchafu? Je, katika kupapasana, kugusana eneo la nyuma (haja kubwa), jasho wakati wa tendo, kunyonya kisimi n.k hii haiathiri zaidi usalama wa uke wako? fikiria binafsi kisha jibu lako likusaidie kuongeza umakini.
• Namna Ya Kusafisha Uke, Asubuhi chukua maji mengi ya kawaida (usisafishe uke kwa maji ya joto) kisha chambia uke wako, kwa asubuhi unaruhusiwa kuingiza kidole na kuondoa utoko unaokuwepo ila usiingize ndani sana kidole chako na hakikisha umekisafisha kabla hujakiingiza huko ndani.... Nyakati nyingine zilizobakia huruhusiwi kuingiza kidole kusafisha uke wako, isipokuwa unachambia tu uke kwa maji k**a umetoka haja ndogo au kuoga
NITAFUTE 0758335074
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
DODOMA
Dodoma