AFYA kwanza

AFYA kwanza

Share

TUNATATUA CHANGAMOTO MBALI MBALI ZA KIAFYA PIA TUNATOA USHAURI BURE
📞0717547978

07/11/2022

DR ERNEST HERBAL THERAPY

Hawa NI wataalamu wa tiba za magonjwa mbali mbali ya kiafya kwa kutumia mimea asilia

Lakini pia tuna wanatumia virutubisho lishe kutatua changamoto mbali mbali za kiafya

Baadhi ya changamoto wanazotatua NI K**a vile
✓kisukari
✓pressure
√ini
✓figo
✓bawasili
✓tezi dume
✓vidonda vya tumbo
✓nguvu za kiume
✓pid
✓mimba kuporomoka
✓kushindwa kupata ujauzito
✓miguu kuwaka Moto

Gharama zao NI nafuu na wanatoa ushauri bure kabisa

Wanopatikana kigoma mjini.kwa mawasiliano ,ongea na daktari
📱0717547978

01/11/2022

*Dalili za mwanamke mwenye tatizo la mvurugano wa homoni(Hormonal Imbalance)*

🥦 Kuwa na uke mkavu

🥦 Kukosa hamu ya tendo la ndoa

🥦 Hedhi kubadilika badilika

🥦 Kutokwa na damu ya hedhi kwa muda mrefu zaidi ya siku saba

🥦 Kutokwa na damu kidogo sana au nyingi sana wakati wa Hedhi

🥦 Uchovu wa mara kwa mara

🥦 Hasira za mara kwa mara

🥦 Kukosa usingizi

🥦 Kuongezeka kwa tumbo(kitambi) na manyama uzembe

🥦 Kuharibika kwa ngozi (kuwa na chunusi na vipele)

🥦 Kusahau sana

🥦 Maumivu ya viungo

🥦 Upungufu wa nywele kichwani au nywele kukatika katika ovyo

🥦 Msongo wa mawazo

🥦 Maumivu ya kichwa mara kwa mara

*Madhara yatokanayo na dalili hizi ni pamoja na;-*

🥦 Kutoshika kwa ujauzito kwa muda mrefu

🥦 Mimba kuharibika mara kwa mara

Je ni dalili GANI inayokusumbua Mara KWA kwa Mara?

01/11/2022

Dr_Ernest_herbal_therapy tunakutakia kheri na baraka tele katika mwezi huu wa november.ni siku chache zinakaribia katika kufunga mwaka.

31/10/2022

*DALILI ZA P.I.D*

Whatsapp/call
#0717547978

Je ni wewe au ndugu, jamaa au rafiki yako? Okoa maisha yako/yake sasa tiba bora ya asili ya PID,UTI na fangasi sugu imepatikana

Mwanamke akianza kuonyesha dalili za ugonjwa wa P.I.D anaweza:

1. Kuhisi maumivu ya tumbo hasa maumivu chini ya kitovu

2. Kutokewa na maumivu ya mgongo na kiuno mara kwa mara

3. Kutoa uchafu sehemu za siri ambao huambatana na harufu mbaya ama laa

4. Kupata maumivu wakati wa kukojoa

5. Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa

6. Kupata damu bila mpangilio akiwa kwenye siku zake

7. Kuwa na homa mara kwa mara

8. Kichefuchefu

9. Kutapika

10 Kuwa na msongo wa mawazo na kuumwa kichwa

11 kupata miwasho ukeni isiyo eleweka

12 kuwa na uke mkavu

13 kukosa hamu ya tendo

-asili-Dr Ernest herbal therapy
https://wa.me/message/MG3PHRIB6UD7I1

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Majengo Sokoni
Dodoma