Chelemenge
FRIENDSHIP ONLY
09/09/2017
kesho ni mwendo wa mateka huko njombe
leo wachimba ming'oko wameshinda pale nangwanda international stadium. hongera ndanda kwa ushindi mnono leo.
02/03/2016
>>>Kumeibuka tabia ya Wakenya kung'ang'ania hazina ya Taifa letu na kunadai ni mali yao.
*************** TAHADHARI*************
Tafadhalini sana Wakenya
Msije mkathubutu kusema Young Africans ni yenu, tutawafuata hadi kwenu!! Ila mkisema Simba Sports Club ni yenu tutawaletea hadi Namanga FOR FREE, gharama za usafiri zote zetu!!
Yanga ni fahari ya Taifa letu,Yanga ni hazina ya watanzania!
WANANCHI WA TANZANIA WANAIPENDA YANGA.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dodoma