Kisedet

Kisedet

Share

Eduardo Galeano

18/05/2026

Tazama uchomaji wa takataka kwenye dampo, ukifanyika katikati ya makazi ya watu.

Je, unaona ni sahihi kufanya hivi? Mwaga maoni yako hapa chini.

23/04/2026

🇹🇿 Kila Alhamisi, watoto na vijana wanaoishi na kufanya kazi mitaani, ambao wanahudhuria Makao ya kutwa (Drop in), pamoja na wale ambao wanaishi katika makao ya muda mfupi Shukurani, wanapata nafasi ya kutafakari na kufanya mazoezi kupitia kipindi cha yoga!

🇮🇹 Ogni giovedì, i bambini e i ragazzi che vivono e lavorano per strada, e frequentano il centro diurno "Drop-in center", e quelli che vivono nella casa accoglienza a breve termine Shukurani, hanno l'opportunità di fare yoga!

🇬🇧 Every Thursday, children and youth living and working on the streets, who attend the "Drop-in center", as well as those living in the Shukurani short term center, have the opportunity to meditate and practice through a yoga session!

Photos from Kisedet's post 15/04/2026

🇯🇲 Maafisa wa Shirika la KISEDET wakiwa kwenye kipindi cha radio, Dodoma FM wakielezea changamoto wanazopata watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani na kazi ya kisedet kwa kuwasaidia.

🇮🇹 Gli assistenti sociali di KISEDET, durante la trasmissione radiofonica di Dodoma FM, hanno spiegato le difficoltà che i bambini e ragazzi di strada, affrontano quotidianamente, e il lavoro che kisedet fa al loro fianco.

🇬🇧 KISEDET social workers on a radio show, Dodoma FM, explaining the challenges faced by children living and working on the streets, and kisedet's work to help them.


.com1

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Chinangali East
Dodoma
P.O.BOX379