Calvary Christian Assembly
Come now, and let us reason together, saith the Lord: though your sins be as scarlet, they shall be as white as snow;
20/10/2022
“Kwa maana BWANA wa majeshi asema hivi, Mara moja tena, ni kitambo kidogo tu, nami nitazitikisa hizo mbingu, na hii nchi, na bahari, na nchi kavu; nami nitatikisa mataifa yote, na vitu vinavyotamaniwa na mataifa yote vitakuja; nami nitaijaza nyumba hii utukufu, asema BWANA wa majeshi. Fedha ni mali yangu, na dhahabu ni mali yangu, asema BWANA wa majeshi. Utukufu wa mwisho wa nyumba hii utakuwa mkuu kuliko utukufu wake wa kwanza, asema BWANA wa majeshi; na katika mahali hapa nitawapa amani, asema BWANA wa majeshi.”
Hag 2:6-9 SUV
Hag 2:6-9 Kwa maana BWANA wa majeshi asema hivi, Mara moja tena, ni kitambo kidogo tu, nami nitazitikisa hizo mbingu, na hii nchi, na bahari, na nchi kavu; nami nitatikisa mataifa yote, na vitu vinavyotamaniwa | Maandiko Matakatifu ya Mungu... Kwa maana BWANA wa majeshi asema hivi, Mara moja tena, ni kitambo kidogo tu, nami nitazitikisa hizo mbingu, na hii nchi, na bahari, na nchi kavu; nami nitatikisa mataifa yote, na vitu vinavyotamaniwa
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Chigundu Street, Area E, CHADURU
Dodoma
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 10:00 - 18:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 10:00 - 18:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |
| Sunday | 07:30 - 15:00 |