Powerful Positive Mind
Even In The Darkness Winners Sees The Light, Dont Be Someone You Dont Want To Be
29/05/2024
Linda mshumaa ulioanza kuwaka tena ndani yako hata k**a upepo ni mwingi.
Nilipoteza upendo kwa Huyu jamaa baada ya mambo mengi kuwa tofauti, kila jambo lilikuwa haliendi kabisa kabisa.
Sikumfikiria kabisa Huyu jamaa, niliwaza k**a ndo mwisho wa kumpatia nafasi nyingine,
Nilitaka kumuacha akate Tamaa kwenye ndoto zake,
Nilitaka kuiachia asili imuamulie, aachane na upambanaji ila kumbe Mungu anasikia, ni KWELI HAJANIKAMILISHIA KILA KITU
ILA nalinda MSHUMAA huu ULIOANZA KUWAKA hata k**a bado Kuna upepo mwingi na maji yanayozonga
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dodoma
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| 18:00 - 19:00 | |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| 18:00 - 19:00 | |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| 18:00 - 19:00 | |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| 18:00 - 19:00 | |
| Friday | 08:01 - 17:00 |
| 18:00 - 19:00 | |
| Saturday | 08:00 - 17:00 |
| 18:00 - 19:00 | |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |