Google play services
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Google play services, Media, Miyuya, Dodoma.
Mbeleko zinaharibu mpira wetu bongo .Hivi hizo VAR zipo kweli?Mbona hazitumiki?
02/03/2023
Hivi huu sio ulofa ,watu wamekula nyama Ng'ombe mzima hawatangazi lakini wewe chinyango tu,Dunia mzima wajue.Huko kwenye minada wamasai wanakula mbuzi tatu nne hatwaoni wakijitangaza.
Miaka 2 ya Urais mkwa mama Samia inamengii mazuri yaliyo fanyika natoa kongole.Lakini awemacho na wapigaji serikalini na wamecharuka kweli.Iko mifano kibao,mathlani kitu kilinunuliwa kwa milioni 2 ipendekezwa kufanyiwa ukarabati kwa sh.4ml.Sibora kununua kingine kipya
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Miyuya
Dodoma
09/08/2024