Infinity Real Estate Dodoma
Infinity Real Estate Is a trustworthy real estate consultancy firm focused on delivering high quality and customized housing and land consultancy services.
14/06/2026
VIWANJA VINAUZWA NZUGUNI DD -DODOMA
▶️SIFA ZA VIWANJA
▫️Viwanja vina Hati
▫️Ukubwa wa Sqm 450-600
▫️Maji, Umeme upo
▫️Vinafaa kwa Biashara/Makazi( Hotel, LODGE au Apartment)
▫️Barabara zinafikika mpaka site
▫️Vipo karibu na Njedengwa investment area
▫️pia Kipo karibu na barabara kuu iendayo Dar es salaam
▫️Ni eneo zuri kwa uwekezaji
Kwa mawasiliano: 0767865054 au 0655591155
Ofisi zetu zipo Barbara ya 9 jamal street nyuma ya makei house
07/06/2026
Happy Sunday from Infinity Real Estate! 🏡
Leo ni siku ya kutafakari ndoto zako za kumiliki ardhi.
Kumbuka, ardhi haiongezeki — ila thamani yake inaongezeka kila siku! 🌍
👉 Pumzika ukiwa na malengo makubwa, nasi tupo kukusaidia kuyatimia.
07/05/2026
FURSA YA KIPEKEE – KIWANJA KIZURI KINAUZWA IYUMBU, DODOMA
Sifa za Kipekee:
✅ Kina Hati miliki halali
✅ Ukubwa wa Sqm 562 –
✅ Karibu na Shule ya Mfano Tanzania Nzima 🏫
✅ Umeme ⚡ na maji 💧 vinapatikana
✅ Kimepimwa rasmi 📏
✅ Karibu na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) 🎓
✅ Jirani na Benjamin Mkapa Hospital 🏥
✅ Km 8 tu kufika taasisi kuu za kiserikali 🏛️
✅ Huduma zote za kijamii zinapatikana
🌟 Hii ni nafasi adimu – eneo linalokua kwa kasi, thamani yake inaongezeka kila siku.
📞 Wasiliana nasi sasa: 0767 865 054 / 0655 591 155
🏢 Ofisi: Barabara ya 9, Jamal Street, nyuma ya Makei House
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
P. O. Box 3522, Plot No. 15N Block 4, Jamal Street/Madukani
Dodoma
41000
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |