LEAD Foundation

LEAD Foundation

Share

LEAD Foundation is an NGO registered with the Government of Tanzania with offices in Dodoma and Mpwapwa.

06/03/2026

Miezi mitatu. Msimu mmoja wa mvua. Mabadiliko yanaonekana. 🌧️🌱

Kwa kuchimba makinga maji ya nusu mwezi, tunavuna maji ya mvua na kuyawezesha kupenya ardhini badala ya kutiririka juu ya ardhi. Ndani ya miezi mitatu tu, eneo lililokuwa kavu linaanza kurejea na kuota nyasi.

Maeneo ya malisho yenye afya bora huleta malisho zaidi kwa mifugo, maisha bora kwa wafugaji, na kuimarika kwa bioanuwai.

Kwa kuwa Umoja wa Mataifa umetangaza mwaka 2026 kuwa Mwaka wa Kimataifa wa Maeneo ya Malisho na Wafugaji (International Year of Rangelands and Pastoralists), juhudi za kurejesha ardhi hizi ni muhimu zaidi kuliko wakati mwingine wowote. 🌍🐄🌾

12/09/2025

Baada ya makinga maji aina ya nusu mwezi kuchimbwa, uoto wa asili huanza kuota ndani ya makinga maji halafu baada miaka michache uoto huu husambaa katika maeneo jirani ambayo yalikuwa hayajachimbwa makinga maji. Picha hizi zinaonesha jinsi uoto wa asili ulivyoanza kuota ndani ya makinga maji na kuanza kuenea katika maeneo jirani baada ya miaka michache.

📍 Eneo: Kijiji cha Pembamoto , Dodoma, 🇹🇿

🤝 Ushirikiano wa .tz na

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Plot 125 Kilimani, Box 1823
Dodoma

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00