EK.com

EK.com

Share

Dealing with Domestic Elictrical Installation ( FUNDI UMEME )

13/01/2024

📢CHAGUA KUISHI MAISHA YAKO📢
Ukweli nikwamba maisha ya mtu hayawezi kufanana na maisha ya mtu mwingine yaani sababu za Mungu kukuumba au NJIA ALIYO KUTENGENEZEA MUNGU UIPITE/ UIISHI UKIWA DUNIANI haiwezi fanana na ya rafiki yako, ndugu yako au shosti ako kamwe ndio maana katika maisha yako inawezekana hufanikiwi kwasababu unajarbu kuwa k**a watu flani
👉Katika maisha yako inawezekana kuna kipengere flani unashindwa kufanikiwa nikwasababu ya kosa moja tu UNAIGA, yaani kila unacho kifanya wewe unafanya kwasababu ya mtu flani kafanya na kwa bahati mbaya sana inawezekana yeye anasababu ya kufanya kwa manufaa yake flani, na wewe je unajua ni kwanini unafanya ..? (kwenye ndoa, mavazi, biashara, kwenye huduma n.k)
👉Ndoto yako ndiyo itakayo amua uishije, je ule mlo mmoja kwa siku ili uifikie, upige kazi masaa mengi, uvae mavazi mazuri na yenye kusitili mwili ili uolewe, uvae vimini au masuruali upate wanaume wengi kwa siku au kutongozwa sana siku hiyo
👉TATIZO LAKO UNAIGA alafu unamwiga mtu ambae yeye yawezekana anasababu za kufanya anacho kifanya, na hatimaye unaishi kwenye NDOTO ZA MWENZIO tena ambazo hujui hata mwisho wake maana huna maono nazo
MUHIMU
ISHI MAISHA YAKO, TAKA KUJUA NDOTO YAKO KATIKA MAISHA YAKO NI IPI, NA ILI IFANIKIWE KUITIMIZA HIYO NDOTO YAKO NI MAMBO GANI UNATAKIWA UYAZINGATIE NA UYAFANYE jitafute WEWE NI NANI HASA UTAFANIKIWA
👉JIKATAZE kufanya mambo yako kwa kuiga/ kufanya mambo kwa kupoteza mda, NDIO kwasababu kufa mambo kwa kuiga ni KUPOTEZA MDA coz ni kweli utatuonyesha/kuwaonyesha ulicho nacho lakn hiyo bado haitakusaidia na wala haiwezi nisaidia, maana inawezekana hata NIKIKUOMBA huwezi nipa au kunisaidia
ISHI MAISHA YAKO, UTAFANIKIWA

21/01/2022
Photos from EK.com's post 02/12/2019
Want your business to be the top-listed Business in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Mwanjerwa
Dodoma