FULU Viwanja

FULU Viwanja

Share

habari za michezo.makala za soka matukio ya kimichezo,burudani,ratiba na matokeo ya mechi mbalimbali,rekodi za soka na tetesi za usajili na usajili wa wachezaji

17/03/2019

Bao la dakika ya 58 lililofungwa na Luca Kikoti limeiweka Namungo FC katika mazingira mazuri ya kupanda Ligi Kuu msimu ujao kupitia kundi A baada ya kufikisha pointi 47.

Goli hilo lililotokana na mkwaju wa penalti, liliiwezesha Namungo kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Reha FC kwenye Uwanja wa Chuo cha Bandari Temeke

Matokeo hayo yameifanya Namungo iongeze pengo la pointi baina yake na Mbeya Kwanza inayoshika nafasi ya pili hadi kufikia pointi nane.

Timu hiyo sasa inahitajika kuibuka na ushindi kwenye mechi tatu kati ya tano ilizobakiza ili ipande Ligi Kuu msimu ujao.

Skriv en Tweet på Twitter

17/03/2019

Jurgen Klopp said he is not concerned about his players' nerves after Liverpool earned a narrow 2-1 victory over Fulham at Craven Cottage.

Sadio Mane gave the visitors a first half lead but ex-Liverpool forward Ryan Babel took advantage of a mix-up between Virgil van Dijk and Alisson to equalise for Fulham before James Milner's 80th-minute penalty earned Klopp's men all three points.

The victory took Liverpool back to the top of the Premier League, with Manchester City two points behind in second, having played a game less.

"We started really well, and did a lot of good things but lost the rhythm a bit," Klopp told Sky Sports. "I am not the most experienced manager and I have similar problems after Champions League games.

14/01/2018

SIMBA SC

KOCHA wa zamani wa klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Etoile du Sahel ya Tunisia, Mfaransa, Hubert Velud amewasili mjini Dar es Salaam leo kukamilisha mipango ya kujiunga na klabu ya Simba.

Habari kutoka ndani ya Simba zimesema kwamba, Velud mwenye umri wa miaka 58 analetwa na mmiliki mtarajiwa wa klabu hiyo, Mohamed ‘Mo’ Dewji.

Velud pia alikuwa kocha wa timu ya taifa ya Togo na alipigwa risasi mkononi wakati basi la wachezaji liliposhambuiliwa na waasi Angola wakati wanakwenda kwenye fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2010.

Ana uzoefu wa kufundisha timu nyingi k**a Chalons-sur-Marne, Gap, Paris FC, Gazelec Ajaccio, Clermont, Cherbourg, Creteil, Toulon na Beauvais.

Ameshinda katika Ligue 1 ya Algeria mwaka 2013 akiwa ES Setif, 2014 akiwa na USM Alger na Super Cup ya Algeria mwaka 2013 akiwa na USM Alger.

Anakuja Simba kuchukua nafasi ya Mcameroon, Joseph Marius Omog aliyefukuzwa Desemba baada ya msimu mzuri akiiwezesha timu hiyo kurudi kwenye michuano ya Afrika baada ya miaka minne.

Velud aliyezaliwa Juni 8, mwaka 1959 mjini Villefranche-sur-Saône, Ufaransa enzi zake alikuwa kipa mzuri na alidakia timu za Reims kati ya 1976 na 1989 na Chalons-sur-Marne kati ya 1989 na 1990 kabla ya kuwa kocha.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Selemanijuma1@gmail. Com
Dodoma