Quick Quality 115
Quick Quality 115 is a professional photo and video production studio&news agency,documentary and n
02/07/2020
Saga la Zaka Zakazi na Haji Manara linaendelea.....
UMEPOTOKA HAJI
"Nianze na hili la mtaani. Mimi sijatoka mtaani aisee, nimetoka kwenye chombo kikubwa sana cha habari hapa nchini...hata kabla ya hapo nilikuwa kwenye chombo kikubwa sana.
Maisha yangu ya habari nimeyaishi kwenye vyombo vikubwa nikifanya kazi na magwiji wa habari.
Wewe ndiyo umetoka mtaani baada ya kutoka jela na kesi yako ya utapeli.
Matapeli wote ni watu wa mtaani na ndiko wewe ulikotoka hadi Simba kukuokota.
Halafu suala la AC na dawa ndilo la kushangaza zaidi.
Niliandika kwamba SAFARI IJAYO HATUTOWASHA AC.
Hakuna sehemu niliyotaja dawa...nashangaa unakurupuka na hoja za dawa. Yawezekana kuna kitu unajua kuhusu dawa, utusaidie." - Zaka Zakazi
na washkaji
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Blue Pearl Hotel
Dodoma
00255