Royal Agro-school

Royal Agro-school

Share

sponsored by AmoxEnterprises

24/05/2023

What do you think of this?? Drop your comment👇👇

24/05/2023

I was like to give up😂😂juu ya viwavi jeshi

03/05/2023

Katika kilimo cha mahindi,, unashauriwa kutumia mbolea ya DAP wakati wa kupanda,UREA/NPK wakati wa kukuzia mahindi zaidi UREA ni nzuri kwenye udongo wa kichanga Kwa sababu in madini mengi ya phosphorus ambayo hupotea sana kwenye udongo wa aina hiyo...unaweza kuweka mbolea ya kukuzia kufikia wiki ya Tano baada ya kupanda..

03/05/2023

Kwa kawaida kilimo huanza Kwa mikakati ya namna ya kuendesha aina ya kilimo na zao unalohitaji kupanda, muhimu zaidi ni kuweka sawa bajeti ya mradi Toka mwanzo wa mradi mapka hatua ya kuvuna.
Hii husaidia zaidi kufahamu mwenendo wa mradi na faida za mradi baada ya mavuno

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Geita?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Geita