AFYA Kwanza
MADAWA YA MARADHI YOTE K**A MOYO,MENO,KISUKARI,N.K
22/10/2025
Kwa tiba ya tatizo la Figo kufeli
Jiunge Kwenye Group La Afya Kwanza Whatsapp 👇🏼👇🏼
https://chat.whatsapp.com/CRKvSR076LBHGghGDc8EAk?mode=ems_copy_t
Wasiliana nasi 0625503324
☕ REISHI COFFEE
Ni Kahawa isiyokuwa na Caffein wala Nicotin.
Kahawa hii ina faida zifwatazo;
✅Inasaidia wenye matatizo ya moyo na pressure kushuka
✅Inaondoa allergy zote mwilini
✅Inaongeza kinga za mwili
✅Inaondoa sumu mwilini
✅Inaondoa mafuta mwilini
✅Inaweka sawa kiwango cha sukari mwilini
✅Inasaidia ubongo kufanya kazi vizuri
✅Inasaidia figo na ini kufanya kazi vizuri
✅Inasaidia mtu kulala usingizi mzuri
✅Inasaidia watu wenye vidonda vya tumbo
✅Inasaidia msongo wa mawazo na wasiwasi
Jiunge Kwenye Group La Afya Kwanza Whatsapp 👇🏼
https://chat.whatsapp.com/CRKvSR076LBHGghGDc8EAk?mode=ems_copy_t
Wasiliana Nami sasa 👇0625503324
14/10/2025
*DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI*
☑️Kua na ukavu ukeni
☑️Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
☑️Kutoa jasho usiku kusiko kawaida.
☑️Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi.
☑️Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
☑️Siku za hedhi kubadilika``` badilika.
☑️Kukosa hedhi kwa muda mrefu.
☑️Kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi.
☑️Uchovu wa mara kwa mara.
☑️Hasira za mara kwa mara
☑️Kukosa usingizi
☑️Homa za usiku na kizunguzungu cha mara kwa mara.
☑️Mzio wa vyakula(allergy) kuchagua chagua vyakula.
☑️Kuongezeka tumbo na nyama uzembe.
☑️Kuharibika kwa ngozi (chunusi na vipele).
☑️Maumivu ya viungo.
☑️Upungufu wa nywele kichwani.
☑️Kusahau sana.
☑️kuwa na hamu ya vyakula au vinywaji vya viwandani.
☑️Kupata hedhi wakati wa ujauzito.
☑️Msongo wa mawazo kupitiliza
☑️Kutopata choo kwa wakati.
☑️Kusinyaa au kupauka kwa ngozi.
☑️Maumivu ya kichwa mara kwa mara.
MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI
☑️Kutokushika ujauzito kwa muda mrefu
☑️Mimba kuharibika mara kwa mara
☑️Kuk osa mtoto au Ugumba
☑️Maumivu wakati wa tendo la ndoa
☑️Kuwa na tabia na maumbile ya kiume
☑️UTI (Urinary Tract Infection) ya mara kwa mara
☑️Kuzeeka mapema
☑️Kuziba kwa mirija ya uzazi
☑️Hupelekea tatizo la Saratani
☑️Uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke(Fibroids and Cysts)
Jiunge Kwenye Group La Afya Kwanza Whatsapp 👇🏼👇🏼
https://chat.whatsapp.com/CRKvSR076LBHGghGDc8EAk?mode=ems_copy_t
Kwa maelezo zaidi na tiba.
0625503324
12/10/2025
*SARATANI YA INI*
*SABABU ZINAZOPELEKEA SARATANI YA INI*
1: Matumizi ya vyakula au bidhaa zenye kemikali
2: Matumizi ya dawa zenye kemikali
3:Unywaji pombe
4:Unene na uzito uliopitiliza
5:Kutokula au kunywa vitoa sumu mwilini k**a maji n.k
*DALILI ZA SARATANI YA INI*
1:Ngozi kuwa na manjano na uwepo wa macho makavu
2: Kuvimba Kwa Tumbo
3:Kujisikia kuchoka na mdhaifu muda mwingi
4: Kukosa hamu ya kula na kupelekea kupungua uzito
5: Maumivu ya Tumbo hasa katika eneo la kati upande wa ini
6:Miguu kuvimba
7:Kasi ya mapigo kuongeza
8:Kupoteza uwezo wa tendo la ndoa
Jiunge Kwenye Group La Afya Kwanza Whatsapp 👇🏼👇🏼
https://chat.whatsapp.com/CRKvSR076LBHGghGDc8EAk?mode=ems_copy_t
*Kwa tiba*
*0625503324*
11/10/2025
*GESI KUJAA TUMBONI*
*SABABU ZINAZOPELEKEA GESI KUJAA TUMBONI*
1:Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali
2:Mazoea ya kula kupita kiasi
3:Kuisha Kwa bacteria walinzi tumboni
*DALILI ZA GESI KUJAA TUMBONI*
1:Kuhisi Maumivu ya Tumbo
2:Tumbo kunguruma sana mara Kwa mara
3: Kuhisi kiungulia juu ya Tumbo
4:Kukosa hamu ya kula
5:Kula kidogo na Kuhisi kushiba
6:Magonjwa k**a vile vidonda vya Tumbo,mawe kwenye Figo,kuvimba Kwa kongosho,saratani ya Tumbo,utumbo kuziba, pia hii ni dalili ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kuwa mbovu/kuwa na matatizo
7:Kutojisikia raha na Kukosa amani
Jiunge Kwenye Group La Afya Kwanza 👇🏼👇🏼
https://chat.whatsapp.com/CRKvSR076LBHGghGDc8EAk?mode=ems_copy_t
*Kwa tiba*
*0625503324*
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Nyantorotoro
Geita