Kaka Wanted
Miliki YouTube channel yako ikuingizie pesa. WhatsApo me +255656781501
Hebu Watag Wanawake halafu kimbia
03/11/2023
MAISHA YETU NI MAGUMU SABABU NI HII👇
Kila mtu Anatambua ssbabu ya maisha kuwa Magumu ni kukosa pesa...
Ila kiuhalisia sababu inayopelekea maisha kutupigisha kwata ni VILE VITU MUHIMU VINAVYOENDESHA MAISHA YETU KUHITAJI FEDHA
kuna Chakula,
Mavazi,
Ugonjwa,
Makazi,
Dharula
Na gharama nyingine nyingine...
Ndio maana mtu akianza kujitambua tu mpaka anafikisha miaka 60 huko kila siku ni kuitafuta pesa Tu...
Swali ambalo huwa najiuliza anaitafuta miaka yote hiyo lakini mbona haionekani, inamaana anaitafuta tu na kuitumia iishe yote?
Nikaja kugundua Wengi wetu hawawekezi wakiamini maisha yenyewe mafupi wawekeze ili aje ale nani😂
Lakini pia nikagundua wengi hawajui Njia Rasmi za kuingiza Kipato Kwa kutumia Mfumo wa kuingiza pesa bila hata uwepo wao... Yaani passive Income..
Hivyo basi ikanipelekea kila wiki niwe nina mafunzo ya kusanua watu Njia 10 za kutengeneza pesa Mtandaoni..
Njia hizi ni msaada mkubwa wa kutengeneza pesa maana hazihitaji hata mtaji wowote kikubwa uwe na maarifa Tu😊
Je na wewe unahitaji kushiriki??
Basi wasiliana nami whatsapp 0656781501 ili ujiunge leo
01/11/2023
LEO NDIO MWISHO SASA KUPOTEZA VOCHA!!!
Leo Ndio Mwisho kujaza Vocha kwenye simu halafu simu haikuingizii chochote kile...
Vijana wachache 30 Tu nawakaribisha Kwenye Darasa hili la BURE litakalofanyika Kwenye group la whatsapp kwa Muda wa Siku Tatu..
Usipange kukosa kabisa
Mada itakayofundishwa ni; NJIA 10 ZA KUINGIZA KIPATO Kupitia Mitandao ya kijamii.
Ili kushiriki bonyeza Link kwenye bio Au chini ya picha hii ili nikuunge kwenye group Muda Huu
01/11/2023
VITU UNAVYOWEZA KUVIFANYA YOUTUBE
Angalia nini unapenda kufanya kisha hicho unachopenda kiweke kwenye video sasa... Ndio maana kuna watu wanachora, wanadance,wanaimba cover, wanafundisha jinsi ya kusuka nk.
Ikiwa unachopenda kukifanya bado hukitambui basi unaweza amua kuchukua kitu kimojawapo hapa chini na ukaamua kujifunza ukakijua nje ndani kisha ukaanza kutengeneza video zake... Baadhi ni
✅channel ya mapishi
-bites,
-Cakes,
-Juices,
-foods
✅Channel ya elimu
Fundisha chochote
✅uchambuzi wa michezo
✅Channel ya Urembo&make up
✅channel ya uchambuzi wa vitabu
✅uchambuzi wa mpira
✅uchambuzi wa movie
✅Channel ya reviews
-electronic gadgets
-magari nk.
✅ufugaji(mifugo yote au mmojammoja)
✅kilimo... (mazao yote au moja moja)
✅Online tv(news etc.)
✅Comedy
✅buses updates
✅siasa
✅Fedha na biashara
✅uwekezaji
✅fundisha watu lugha
✅fashion&Design
✅Afya&Magonjwa
✅Utalii
✅graphics
✅ufundi
orodha ni ndefu mnooo
Andika chini hapa kitu gani kingine unachoweza kufanya YouTube👇
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mkolani
Iringa