Jifunze Computer Na Simu

Jifunze Computer Na Simu

Share

Pata stori mbalimbali kuhusu filamu na wasanii ikiwa pamoja na filamu recap

06/09/2025

🌟📘 JIFUNZE COMPUTER KUANZA MWANZO! 💻✨

👀 Umekuwa ukitaka kujua kompyuta kutoka mwanzo lakini hujui wapi kuanzia?
✅ Sasa hapa ni fursa yako ya kipekee!

📚 Kitabu: Jifunze Computer Kuanza Mwanzo
💰 Bei: Tsh 3,000 tu
📲 Malipo: Tigo Pesa 0719633541
📞 Mawasiliano / WhatsApp: 0719633541 / 0754233541

🔹 Kila Kitu Kimefafanuliwa Kieleweke:

Maana halisi ya computer 🤖

Vifaa vya hardware na software 🖥️💾

Internet, email, na cloud storage 🌐☁️

Jinsi ya kuandika, kuhesabu, na kufanya presentations ✍️📊

Kujua jinsi yakutumia Windows na Application zingine

Kujua majina ya software mbalimbali na kazi zake

Social media na online business 📱💼

Usalama wa data na antivirus 🔒🛡️

Mifano halisi ya masomo, biashara, na freelancing 🏫🛒

🔹 Kwa Nani Kitabu Hiki Ni Muhimu?

👩‍🎓 Mwanafunzi anayejifunza computer kwanza
💼 Mfanyabiashara au freelancer mtandaoni
👨‍💻 Mtu yeyote anayetaka kuongeza ujuzi wa digital

🌟 Manufaa:

Kutumia computer kwa masomo ✅

Kufanya biashara mtandaoni ✅

Kujiendeleza kwa skills za digital ✅

Hifadhi data yako kwa usalama ✅

💥 Usikose hii nafasi!
👉 Piga au tuma WhatsApp sasa: 0719633541 / 0754233541
💰 Lipia Tigo Pesa 0719633541, pata kitabu chako leo!

📢 Tengeneza maisha yako digital leo! Jifunze Computer Kuanza Mwanzo! 💻🔥

31/07/2025

📘 KITABU MOTO KABISA! 🔥

📱 JIFUNZE UFUNDI SIMU KWA VITENDO
👨‍🔧 Kwa Wanaotaka Kuanza au Kubobea kwenye Ufundi Simu!

🔧 Yaliyomo Ndani ya Kitabu:

✅ Mafunzo ya Hardware – Fungua na Tambua kila sehemu ya simu
✅ Mafunzo ya Software – Kutatua matatizo ya software kwa apps na tools sahihi
✅ Kutambua na Kutatua matatizo yote ya simu (zote!)
✅ Ufundishaji kwa lugha nyepesi ya Kiswahili
✅ Hatua kwa hatua k**a uko darasani – kwa vitendo kabisa!

📗 Imeandikwa na: Bizz wa Infotech Success
💰 Bei ni Tsh 5,000 tu – Unapata elimu kubwa kwa bei ndogo sana!

📲 Mawasiliano:
📞 Simu / WhatsApp: 0754 233 541

⚠️ Uchumi ni mgumu, lakini ujuzi huu unaweza kukupa mamilioni!
Soma kitabu hiki, anzisha biashara yako leo 🔌💼

🛒 Unataka nakala yako sasa?
Tuma ujumbe: "Naomba Kitabu cha Ufundi Simu" kupitia WhatsApp sasa hivi!

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Iringa