LGC CHOIR
Found at EAGT LOVE OF GOD CHURCH SEMTEMA IRINGA under Pastor NATHAN LWITIKO MWAKABANA
30/10/2024
28/08/2024
Luka 12:32
Msiogope, enyi kundi dogo; kwa kuwa Baba yenu ameona vema kuwapa ule ufalme.
=================
Ni Miaka Mitatu [3] sasa, MUNGU amekua pamoja nasi Safarini kote.
-Yapo Mambo Makubwa Ambayo MUNGU anatupigania katika maisha yetu. shukurani zetu kwake ni Manukato mazuri mbele zake.
-Jumapili hii 1 Septembar 2024 Usipange kukosa hapa Eagtlgc Church, Njoo tumshukuru MUNGU PAMOJA kwakua hata sasa yeye ni EBENEZER.
Bring hope to Others.
01/08/2024
MUNGU AKUINULIE MSAADA ILI KUFIKIA BARAKA ZAKO
MUNGU AKUFANYE KUWA BARAKA KWA WATU WAKE
NAKUOMBEA NEEMA YAKU KUTANA NA RAFIKI SAHIHI ATAKAE KUWA SABABU YA BARAKA ZAKO...
Bring hope to others.
19/07/2024
NEVER GIVE UP. KEEP ON MOVING
HAIJALISHI UMESHINDWA MARANGAPI. WEWE SONGA MBELE TU.
MBELE YAPO MAFANIKIO, FURAHA, AMANI, KICHEKO NA TABASAMU KUBWA ALIYOTUANDALIA MUNGU.
#
17/07/2024
Ninyi mmekuwa rafiki zangu, mkitenda niwaamuruyo.
Yh 14:15
-MUNGU AKUPE RAFIKI YULE ALIYE KUANDALIA KWAAJIRI YA HATIMA YAKO.
-KATIKA JAMBO LOLOTE ULIFANYALO
UKAFANIKIWE KWA JINA LA YESU KRISTO.
BRING HOPE TO OTHERS.
16/07/2024
USIOGOPE
13/07/2024
Tunakupenda na Kukuthamini Maana wew ni Mtu wa Muhimu sana Kwa MUNGU WETU.
Jumuika nasi jumapili Hii UABUDU NASI katika Ibada ya Utukufu Mkubwa kwa MUNGU wetu.
lipo Semtema kihesa jirani na kituo cha Afya Ngome.
...USIPANGE KUKOSA..
Ibada itakua Live Youtube channel yetu kwa jina la EAGT SEMTEMA ..
------------------------------------
BARIKIWA SANAAAA..
12/07/2024
Siku zote katika Maisha yetu, Fadhili za MUNGU ni za Milele na hazipungui kwetu..
- Siku yako ikabarikiwe kupitia Neno Hili. - - Amani ya kristo ikafunike Miasha yako Leo na hata Milele.
- Lile hitaji la MOYO wako ,MUNGU akujibu leo.
- Usilie tena katika maisha yako kwanzia sasa.
# KUWA NA TUMAINI KWA MUNGU , NAYE ATAZITHIBITISHA NJIA ZAKO..
=LGC BRING HOPE TO OTHERS=
07/07/2024
ASANTE KWAKU ABUDU NASI HAPA LOVE OF GOD CHURCH. \\
MUNGU AKUBARIKI SANAA\\..
Karibu Tena Mpendwa 🙏🙏
03/07/2024
ASANTE KWAKU ABUDU NASI LEO.. KARIBU TENA IJUMAA . Ameen 🙏🙏
Astahiliye KUABUDIWA ni MUNGU PEKEE. 🧎🧎
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Iringa
M30 0