AFYA YA JAMII
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA YA JAMII, Health/Beauty, Iringa.
02/10/2020
```_*UJUE UGONJWA WA KISUKARI (DIABETES)*
____________________
Ugonjwa wa kisukari ni ugonjwa unaosumbua watu wengi katika jamii.
Ugonjwa huu hutokea wakati sukari katika damu inapokuwa nyingi kupita kiwango cha kawaida kwa muda mrefu.
Sukari hutumiwa na mwili ili kupata nishati lishe.Kwa kawaida ili mwili uweze kutumia sukari inayotokana na vyakula unahitaji kichocheo cha insulini.
Insulini husaidia sukari kuingia kwenye chembechembe hai ili kutengeneza nishati lishe.
Ugonjwa wa kisukari unasababishwa na kichocheo hiki kupungua au kutofanya kazi K**a inavyotakiwa.Hivyo kiwango cha sukari kinabaki kikubwa kwenye damu kwa sababu sukari haikuwezeshwa kuingia kwenye chembechembe hai za mwili.
*DALILI KUU ZA KISUKARI (DIABETES).*
1.kuongezeka kwa kiwango cha sukari kwenye damu.
2.Kupata njaa na kiu mara kwa mara.
3.Uzito wa mwili kupungua ua kuongezeka.
4.Uchuvu.
5.kutokuona vizuri
6.Kifafa.
7.Kupatwa na haja ndogo mara kwa mara.
*HIVYO UNASHAURIWA UKIONA DALILI K**A HIZO FIKA KITUO CHA AFYA MAPEMA NA HARAKA IWEZEKANAVYO.*
*MADHARA YA KISUKARI.*
-Watu wenye kisukari wapo katika hatari zaidi ya kupata magonjwa yafuatayo:-
*Magonjwa ya moyo.
*Kiharusi
*Kuharibika kwa kibofu cha mkojo.
*Upofu.
*Kufa kwa mishipa ya fahamu.
*Shinikizo la juu la damu.
-Mtu mwenye kisukari mzunguko wake wa damu miguuni hupungua na hii ndiyo sababu kubwa ya kufa kwa neva za fahamu na hivyo mtu kupoteza hisia katika mwili.._```
Picha zilizopo hizo ndio dose kamili ya kisukari
Kisukari kinatibika kwa kutumia virutubisho lishe (Food suppliments)na sio dawa za hospital
UKITUAMINI TUNAKUHUDUMIA
AFYA YA JAMII-admin
0620126323
14/09/2020
Habari tumefungua group Facebook pia ili kutoa uwanja mpana wa kupata elimu na ushauri kuhusu maswala ya kiafya karibuni.Group hili nilamchanaganyiko wa jinsia zote kwani tutakuwa tunatoa elimu ya afya ya inayohusu wote ila kwa mambo ambayo ni yakipekee kwa kila jinsia tutafungua magroup kwa ajiri ya kila jinsi kuwa huru..
Bonyeza link apo chini kujiunga nasi
👇👇👇👇
https://web.facebook.com/AFYA-YA-JAMII-111850080484654/groups/
13/09/2020
_*LIVEN COFFEE*_
*Hii ni kahawa nzuri na yenye ubora na kazi jenzi katika mwili wako ifahamu zaidi soma mpka chini ujue manufaa yake.*
Pia Imesajiriwa kwa FDA FR No. 75086
*JINSI ILIVOTENGENEZWA*
-Ina mjumuuiko wazaidi ya virutubisho 16,000 vinavyotokana na aina 131 ya malighafi asilia.
*_Ikiwemo vitu vifuatavyo;-_*
*Aina 29 za madini pamoja vitamin,,ikiwa na kiwango kikubwa Cha madini ya zinc ambayo Ni mazuri kwa wanaume
*Aina 14 ya vyakula vya kijani
*Aina 12 ya uyoga,ambazo hukukinga na kupambana na virusi wa kansa
*Aina 12 ya vimengenya chakula
*Aina 12 ya mitishamba na virutubisho maalumu
*Aina 10 ya mafuta muhimu(fatty acid)
*JE HII NI AINA GANI YA KAHAWA NA INATOFAUTIANA VIPI NA HIZI ZA VIJIWENI*
Kahawa hii ya *arabica(Arabica coffee)* ni kahawa ambayo ina kiwango kidogo Sana Cha *caffeine* (sumu inayopatikana kwenye kahawa) ukilinganisha na kiwango kinachopatikana kwenye *canephora (Robusta)*
Hata hivo kahawa hii imekaangwa na kuondolewa kiwango hiki Cha *caffeine (sumu inayopatikana kwenye kahawa)* ambayo hufanya watu wengi wachukie kahawa
*Pia kahawa hii Ina radha nzuri mno inayovutia watumiaji pamoja asili yake ya utamu*
_*JE, NI NINI KAZI YA KAHAWA HII MWILINI*_
°Inaongeza hamu ya tendo la ndoa, kwa kuimarisha homoni za uzazi *testerone*
°Inaongeza uzalishaji wa mbegu za kiume yaani shahawa kwa uwepo wa madini ya *zinc*
°Inaondoa sumu mwilini
Inaimarisha utendaji kazi wa ubongo
°Inaondoa uchovu wa mwili na kukuacha mchangamfu
°Inaboresha mfumo wa mzunguko wa damu na uzalishaji wa seli mwilini
Inakukinga na magonjwa atarishi K**a pressure, kisukari n.k kutokana na uwepo wa mdini na vitamins mbalimbali
_*PIA ITAKUSAIDIA NA MATATIZO K**A YA:-*_
_kutokua mfanisi/imara katka tendo la ndoa.
_watu wanaowahi kufika kileleni.
_Uume kusinyaa na kuwa k**a mtoto.
_kunyoosha mishipa ya askari(uume) iliyosinyaa kutokana na kujichua kwa muda mrefu -au ngiri ,nk
_kukaza misuli ya askari(Uume) iliyolegea kutokana na kujichua
_Hii tiba lishe haina madhara kwa sababu ni haina kemikali_*
_*GHARAMA YAKE NI ELFU 45, 000 TU*_
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Address
Iringa
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 16:00 |
| Sunday | 09:00 - 16:00 |