TIBA ZA ASILI
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TIBA ZA ASILI, Medical and health, Iringa.
26/11/2025
Chuma kikabisha, kikamwambia Reece James huku sitaki kukuona, huyo Ferran Torres na Robert Lewandowski wote niachie mimi, hakuna mahali wataenda....we nenda kacheze huko kwingine huku sitaki kukuona.....kazi chafu zote akazisafisha, akawachukua kila alioletewa akawaweka kwenye kibubu, mwanetu ni mwamba sana, chuma kinasumbuliwa na majeruhi tu ya kulogezewa, ila kikiwa kamili hakuna kiumbe kinakatisha kule juu!
Kalibuni wapendwa na wanaopenda kuanza biashara ya vitenge mashuka na khanga
Naomba mni follow link hiyo hapo chiniππ
https://www.facebook.com/profile.php?id=61571398273631
https://chat.whatsapp.com/C6MNazaoyOTDGV7Uafuc9W?mode=ac_t
Kiumbe Fashion Point. Kwa huduma ya vitenge, mashuka, vikoi, mitandio, mapazia na neti aina zote bila kusahau urembo.
10/07/2025
Karibu njombe
29/01/2025
BORESHA MBEGU ZA KIUME ILI UKAMJAZE UJAUZITO HUYO ANAEKUITA NYUKI WA MASHINENIπ
π
π
π
π
K**a una dalili hizi hapa
πUnatoa mbegu za kiume nyepesiiiiiiiii k**a maji ya Dasani
πBastora Yako inawahi kutoa risasi na huwezi kuikoki fasta kushambulia Tena
πHauna nguvu za kumtoa k**asi HUYO mtoto WA mama mkwe
πNa mengine yanayofanana na HAYO basi ujue una shida mjukuu wangu
Mwanaume | Unahitaji sana Madini Ya Zinki hasa k**a unaona mambo ya chumbani hayaendi vizuri,
Unaweza kuandaa hii lishe k**a una brenda
Mahitaji ni Karanga Mbichi, Almonds, Korosho, Mbegu za maboga na Tende (tupa mbegu ubakize maganda yake)
Nafaka hizi zina madini ya zinc kwa asilimia zaidi ya 70%
Chukua viambata vyote hivyo, saga vyote kwa pamoja kwenye brenda kisha utaweka maziwa fresh.
Usiongeze sukari wala Asali.
Tumia glass moja kila siku jioni baada ya Mazoezi ya Kegels.
Hapo lazima HUYO mtoto WA mama mkwe akimbie kitandani ajasimulie magori kwa mashost
Hata k**a anachoma sindano za uzazi WA mpango akizubaa kdg π«π«π«π« inapenya
Mabadiliko utayapata baada ya siku 15 Tu.
Muhimu mwanaume punguza matumizi ya sukari nyingi katika milo au vinywaji, wacha matumizi ya pombe, sigara na vyakula vyenye mafuta mengi
Rudisha heshima ya ukoo wenu mpe mimba tuu nidhamu itarejea
Hello karibu kwenye group la whatsapp bonyeza link kujiunga tunahusika na kuuza vitenge, nguo za mtumba k**a sket, blauzi, shifon, pensi, jaketi, kolea kot, magauni marefu, bei ya jumla na lejaleja karibu kuangalia sampo ndani ya group. pia unaweza agiza mzigo na ukaletewa ulipo. Weka namba nikuunge au gusa link ya hapo chini
ππππππππππππ
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the practice
Telephone
Website
Address
Iringa