Rural Development Organization - RDO

Rural Development Organization - RDO

Share

1.Usaidizi wa Watoto Yatima 2. Usambazaji wa Maji 3. Mafunzo ya Ufundi Stadi Welcome all,
Regards RDO team:

Photos from Rural Development Organization - RDO's post 28/04/2026

Mkurugenzi Mtendaji wa RDO Tanzania, ndugu FIDELIS EMILIO FILIPATALI akishiriki katika Kongamano la pamoja kati ya Serikali na Asasi za kiraia kuhusu Maendeleo endelevu ya Vijana. Kongamano hilo limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam

Photos from Rural Development Organization - RDO's post 20/04/2026

Leo siyo darasani tu—ni shambani pia! 🌱👩‍🌾👨‍🌾
Wanafunzi wetu pamoja na wakufunzi wanashiriki moja kwa moja katika kufundisha na kujifunza kwa vitendo kwasababu ndiko kunakojenga ujuzi halisi.

Katika chuo chetu, hatufundishi kwa nadharia pekee—tunalea wataalamu wa kilimo na mifugo kupitia uzoefu wa moja kwa moja. Kila mbegu inayopandwa na kila zao linalovunwa ni sehemu ya safari ya kujifunza, ubunifu na kujitegemea.

Elimu kwa vitendo, mafanikio ya kweli! 🌾✨

Want your organization to be the top-listed Non Profit Organization in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Head Quarters:Tanzania , RDO Kilolo: P. O. BOX 2311 KILOLO
Iringa
P.O.BOX65MAFINGA-

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00