Mlewa Electronics

Mlewa Electronics

Share

Ndani ya page hii ya MLEWA ELECTRONICS utaweza kufahamu MAMBO YOTE ambayo HUJAWAHI kabisa kuyaskia h

25/11/2022

Hapa sidhani k**a fundi mwenzangu alipewa posho ya kazi, kazi ngumu hii.

27/04/2021

FAHAMU HII KUHUSU "PATTERN" ZA SIMU.



Katika uchunguzi uliofanywa na aliyekuwa mwanafunzi wa chuo cha *Norwegian University of Science and Technology,* "Marte Løge", alibaini kuwa kati ya ‘pattern’ 4000 asilimia 77 walikuwa wanaanza kuchora kuanzia katika moja kati ya kona nne za juu kabisa. Asilimia 40 walianza katika kona ya juu upande wa kushoto kabisa.

Kwa haraka haraka watu wengi huwa wanaanza kuchora *‘pattern’* zao na kwa kupitia katika vinundu vinne tuu mpaka vitano saa zingine. Kwa kufanya hivyo wanashusha ule ugumu wa kuweza kutoa loki hizo. Sawa kwa mtu kukisia bado ni vigumu lakini kwa watu ambao wamebobea kwenye TEHAMA k**a *"Mlewa"* wanaweza wakawa wamerahisishiwa kazi ya kudukua au kufanya chochote kwa kiasi flani.

Katika ‘Pattern’ kuweka shepu za herufi k**a vile “L” au “Z” kuanzia katika kona ya kushoto ya juu ni rahisi sana kwa mtu kuotea kwani zinajulikana sana. Pia watu wanafeli pale wanapoweka herufi hizo kutoka kwa majina yao au kutoka kwa watu wao wa karibu.

Nadhani tunakubaliana kuwa k**a unatumia aina hizo za *‘Pattern’* ni rahisi sana mtu kuiotea na akafanikiwa kutoa loki katika kifaa chako.

Sasa ni njia gani za kufanya kuhakikisha kuwa unakuwa na *‘Pattern’* ambayo sio rahisi kwa mtu kuiotea?. ```USISITE! NITAFUTE TUZUNGUMZE MENGI KUHUSU TEHAMA (I.C.T)
0766199564 / 0622986231

Computer


& Vifaa Vyote Vya Umeme

IRINGA TOWN
MWEMBETOGWA.

17/04/2021

LIJUE BALAA LA MGUNDUZI WA FACEBOOK"

________________

** ✍️

⬛...SHILINGI *MILIONI 45.8,* SAWA NA ($20.000) NDIZO ZINAZOTUMIKA KILA BAADA YA SIKU MOJA KWA AJIRI YA KUMLINDA MWANZILISHI WA MTANDAO WA *"FACEBOOK"* (MARK ZUCKERBERG), NA INATAJWA BAJETI YA TSh *BILIONI 16.7* ZIMETENGWA KWA AJIRI YA KUMLINDA "MARK" NA FAMILIA YAKE KWA MWAKA MMOJA.* 👇

⬛... ```PIA FAHAMU KWAMBA...."FACEBOOK" IMETAWALIWA NA RANGI YA "BLUE" KWA SABABU TU YA MWANZILISHI WAKE HUYU ANA TATIZO LA KUSHINDWA KUTOFAUTISHA RANGI "NYEKUNDU" & "KIJANI" NA KWAKE RANGI YA "BLUE" TU NDIYO ANAYOIONA VIZURI KULIKO RANGI ZOTE DUNIANI.```

KARIBU TUSHAULIANE KUHUSU "I.C.T"...(IRINGA MJINI)

0766199564 / 0622986231

Want your school to be the top-listed School/college in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Iringa