Bee Excellent
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bee Excellent, Entrepreneur, Don Bosco, Iringa.
15/05/2026
OFA KUBWA
Kuelekea siku ya nyuki duniani bee excellent hatujakuacha nyuma, tumekuletea punguzo la bei mpaka 30% ya vifaa vya ufugaji nyuki, k**a vile mavazi, bomba moshi, chujio za asali, hive tool, mizinga N.k
Punguzo hili ni kuanzia mei 19 mpaka 22-5-2026
Na tutakutumia mzigo wako kwa uhakika ndani ya masaa 24 baada ya malipo.
"USIPANGE KUKOSA"
*TUNAPATIKANA*
Iringa mjini - Tanzania.
Mtaa wa Don Bosco
📞TUPIGIE
+255759904750
+255762304750
www.beeexcellent.co.tz
[email protected]
19/04/2026
SOMA ONGEZA MAARIFA
Bee excellent and general supply ltd tumekuleta vitabu vitakavyo kusaidia kuongeza maarifa juu ya ufugaji nyuki na mazao ya nyuki kwa ujumla
Vitabu hivi vinapatikana kwa lugha ya kiswahili na kingeleza.
*TUNAPATIKANA*
Iringa mjini - Tanzania.
Mtaa wa Don Bosco
📞TUPIGIE
+255759904750
+255762304750
www.beeexcellent.co.tz
[email protected]
17/03/2026
Kitabu Cha ufugaji nyuki Sasa kinapatikana kwa lugha ya kingereza pia.
Jipatie nakala yako Sasa kwa lugha ya kiswahili au kingereza ili kuendelea kujifunza zaidi kuhusu nyuki pamoja na ufugaji kwa ujumla.
Tunapatikana Iringa -Tanzania
Wasiliana nasi sasa
0759904750
0762304750
13/03/2026
Kafasi ya nyuki ni kutoka sega moja na sega jingine au ukuta wa mzinga, Nafasi huwasaidia kutembea kwa urahisi wakati wa kufanya kazi zao.
Kwa kuzingatia nafasi hiyo tumia FRAME SPECER ambayo husaidia kutenganisha frame moja na nyingine, pia hutenganisha frame na mbao ya pembeni ya mzinga.
Kupata kifaa hiki wasiliana nasi bee excellent and general supply ltd. Na tutakutumia popote ulipo.
TUNAPATIKANA
Iringa mjini - Tanzania.
Mtaa wa Don Bosco
📞TUPIGIE
+255759904750
+255762304750
www.beeexcellent.co.tz
[email protected]
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Don Bosco
Iringa
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 19:30 |
| Tuesday | 08:00 - 19:30 |
| Wednesday | 08:00 - 19:30 |
| Thursday | 08:00 - 19:30 |
| Friday | 08:00 - 19:30 |
| Saturday | 08:00 - 19:30 |