Efatha Church Iringa

Efatha Church Iringa

Share

07/05/2026

*SIKU YA SABA YA KUFUNGA NA KUOMBA*

Mungu ametupa nafasi nyingine ya kumtafuta kwa moyo wa kweli na kuijua haki yake, ili maisha yetu yaangaze k**a nuru ya ulimwengu.

Katika siku hii ya leo:
Pale penye giza, Mungu alete nuru.
Pale penye udhaifu, alete nguvu.
Pale penye ugonjwa, alete uponyaji.
Na pale penye maonevu, alete wokovu na amani.

Mungu akufanye kuwa vile alivyokuandalia kwa ajili ya utukufu wake.

Mathayo 5:14 “_Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima._”

Photos from Efatha Church Iringa's post 05/05/2026

Leo Jitamkie haya

“Kwa msaada wa Mungu nitatenda mambo makuu.

Tembea kwa amani, ukiamini kuwa Mungu tayari anatenda kwa ajili yako

……………………………………………….

Today declare this:

“Through God, I will do great things.”
Walk in peace, believing that God is already working on your behalf.

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Wilolesi
Iringa
P.0.B0X2003