Manispaa Iringa 1

Manispaa Iringa 1

Share

Ukurasa huu ni maalum kwa ajili ya matukio na habari mbalimbali zinazohusiana na Halmashauri ya Man

Photos from Manispaa Iringa 1's post 20/08/2019

"Niwaombe tuweke Mazingira safi na kuwa wakarimu kwa wageni, pia wananchi waruhusiwe kuvinjali nakuangalia utalii ndani ya Manispaa ya Iringa"
Kauli hiyo imesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Ally Hapi katika kongamano la utalii karibu kusini lililofanyika ukumbi wa Siasa ni Kilimo ndani ya Manispaa ya Iringa .
Miongoni mwa washiriki katika kongamano hilo ni Pamoja na Wakuu wa Wilaya, Jeshi la polisi, Wamiliki wa mahoteli, Viongozi wa Dini na viongozi mbalimbali wa Serikali nzima kutoka Manispaa ya Iringa. .ryata @

Photos from Manispaa Iringa 1's post 18/07/2019

MKUU WA MKOA WA IRINGA MHESHIMIWA ALLY HAPI AMEZINDUA RASMI HUDUMA ZA MABASI KATIKA STENDI YA IGUMBILO.
Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz

11/07/2019

TAARIFA KWA WANACHI JUU YA STENDI YA MABASI YA IGUMBILO
Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz/press-release

Photos from Manispaa Iringa 1's post 09/07/2019

KAMATI YA SIASA YA CCM NGAZI YA MKOA IMEFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA IRINGA
Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz

Want your organization to be the top-listed Government Service in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


S. L. P 162
Iringa
AAASSSS

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:00
Tuesday 07:00 - 17:00
Wednesday 07:00 - 17:00
Thursday 07:00 - 17:00
Friday 07:00 - 17:00