Verit Tech

Verit Tech

Share

Verity Tech TZ
πŸ”’ Electric Fence Installation
πŸ“Ή CCTV Cameras
πŸšͺ Gate Motors
πŸ“ Dar es Salaam | Kibaha
πŸ“ž 0719 142 000
πŸ“© DM for Quotation

16/05/2026

Verity Tech tunalinda unachokijenga
Motor Gate system kwa maisha ya smart living πŸšͺ
πŸ“ž 0719142000

πŸ“Daresalaam
Tunafanya kazi mikoa yote Tanzania
SecuritySystems

23/04/2026

Usingizi wako ni wa thamani sana kuchezewa.
​Hakuna kitu kinachouma k**a kulala huku ukiwa na wasiwasi juu ya usalama wa familia yako au mali zako. Ukifunga Electric Fence imara, unajenga ukuta wa kwanza wa ulinzi unaomfanya mwizi afikirie mara mbilimbili kabla ya kusogea.
β€‹βœ… Inatuma onyo la papo hapo (Alarm).
βœ… Inazuia uvamizi kabla haujatokea.
βœ… Ni ulinzi wa saa 24/7.
​Wekeza kwenye amani leo. Tupigie kwa namba 0719142000 kwa tathmini ya bure!

21/04/2026

Wizi wa kuruka ukuta sasa baasiπŸ”

10/04/2026

Je, mfumo wako wa ulinzi unasumbua? Au unataka kufunga mpya?
βœ… CCTV Cameras (HD Quality)
βœ… Electric Fence & Gate Automation
βœ… Biometric/Fingerprint Locks
βœ… Fire Alarms
Mafundi wetu ni waaminifu na wenye uzoefu mkubwa. Agiza huduma leo ufurahie amani ya moyo!

Piga: 0719142000

Karibuni sana wateja.

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Kibaha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Kwa Mathias
Kibaha
61107

Opening Hours

Monday 06:00 - 21:30
Tuesday 06:00 - 21:30
Wednesday 06:00 - 21:30
Thursday 06:30 - 17:00
Friday 13:30 - 21:30
Saturday 06:30 - 21:30
Sunday 06:30 - 21:30