Christ Labourers Church

Christ Labourers Church

Share

Located at Visiga, Pwani Region

Photos from Christ Labourers Church's post 20/01/2026

Enendeni ulimwenguni kote mka hubiri injili, ikawe Kheri katika majukumu yenu ya kihuduma.

YouTube ni Vincent Komba ministry

Hii ni link ya video ya mahafali iliyo fanyika. https://youtu.be/9JNz9uQsJiI

19/01/2026

Asanteni sana🙏🙏. Hakika tulikuwa na wakati mzuri sana 🤝Tuna watakia Kheri katika Huduma zote mtakazo zifanya.

10/01/2026

Mwenye kuzini na azidi kuzini na mwenye kujitakasa azidi kujitakasa. mtunze yesu Saa inakuja.

09/01/2026

Maisha Yana madaraja.

07/01/2026

Hakuna muujiza wa uponyaji k**a hakuna jaribu la ugonjwa.

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Kibaha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Visiga
Kibaha