Wajasitz
Wajasitz ni mtandao ambao unakupatia fursa ya kununua bidhaa zenye ubora kwa bei nafuu kabisa kutoka katika duka letu la Mtandao.
Ebu fikiria changamoto ya kuamka asubuhi halafu ukakumbana na kadhia ya kutafuta dawa ya meno, kumbee ipo chumbani kwa watoto, au uliichanganya na mavitu mengine. Vipi k**a ukiwa na kifaa k**a hiki? Hakuna tena changamoto ya "Iko wapi dawa ya meno"
Ni rahisi sana kutumia, na pia inakupa matumizi sahihi kabisa ya dawa yako ya meno.
Utaletewa popote ulipo: 0689629763
WhatsApp: +255 656 142 433
26/01/2021
Karib Ujipatie saa ya kisasa kabisa kwa bei poa, bei ya punguzo.
**Sifa za Saa hii**
1. Ina uwezo wa kukaa na chaji kwa muda wa siku 3
2. Ina camera yenye uwezo wa hali ya Juu
3. Unaweza ukaitumia k**a simu kwa ina sehemu ya Memory card pamoja na sim card (Line)
4. Unaweza ukaitumia ku control music kwa njia ya bluetooth kwenye simu au radio yako
5. Inakupa uwezo wa kupiga na kupokea simu, pamoja na kuona majina yote ya kwenye simu yako
6. Ina uwezo wa kutuma na kupokea sms, na kupata taarifa toka kwenye mitandao yote ya kijamii
Saa hii utaipata kwa bei ya Punguzo ya Tshs. 85,000/= Karibu sana.
Kwa mawasiliano zaidi:
WhatsApp: 06561424344
SMS/Calls: 0689629763
S
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Kibaha, Picha Ya Ndege
Kibaha
61104