CEO Isack Mathias JR

CEO Isack Mathias JR

Share

Kila jambo lina majira na nyakati. Usichoke kusubiri

04/02/2025

Nawakumbusha Tu kuwa Wazee wa zamani walikuwa wanaweka chura hai kwenye maziwa ili yasiharibike kwaiyo Ambao Hamna Mafriji Chukueni Hii Shule👊

Inasadikika kuwa enzymes zilizopo kwenye ngozi ya chura zilikuwa na uwezo wa kuzuia ukuaji wa bakteria, hivyo kusaidia maziwa yasiharibike. Ingawa leo tuna teknolojia k**a majokofu, ni ajabu kufikiria mbinu za asili ambazo zilikuwa na ufanisi wao.

HILI SOMO NIMEKUTANA NALO X(Twitter) HIVYO BADO NAHITAJI MAONI ZAIDI HAPA

04/02/2025

We pray for DRC Congo

Want your business to be the top-listed Business in Kibaha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Mtemihamenyimana2016@gmail. Com
Kibaha