IJUE AFYA
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from IJUE AFYA, Medical and health, Mbeya city, Mbeya.
23/04/2025
https://youtu.be/FClI4BsY9OQ?si=3_e4dXvhgGzumMu4
HIKI NDICHO CHANZO CHA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI (CERVICAL CANCER)
Elimu ya uzazi ni muhimu Sana kwa jinsia zote mbili, baadhi ya matatizo mengi ya mfumo wa uzazi kwa wanawake husababishwa na wanaume, ingawa badhi ya wanaume huwa mabali na wengine hukataa kabisa kujihusisha na suala la kujifunza Afya ya uzazi na kudhania kuwa ni jukumu la wanawake pekeyao, kitu ambacho siyo kweli Wala si haki na hii ni kutokana na kukosa Taarifa sahihi, ushauri ama elimu Bora ya uzazi. Tambua jukumu ni letu sote kwa Afya Bora ya uzazi
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the practice
Website
Address
Mbeya City
Mbeya