emanuemlingwa
Ninatoa Elimu ya fedha, namna ya kuwekeza fedha yako upate faida, pia Natoa mikopo ya riba rafiki na consultations zihusuzo fedha.
13/05/2020
Maumivu mwilini ni Hali ambayo hutokea baada ya kemikali itwayo protaglandins, kuzalishwa mwilini au Eicosainaids, Tutaenda kujifunza sababu za kemikali hizi kuzalishwa na ufanye nini unaposikia maumivu
SABABU ZA KEMIKALI HIZI KUZALISHWA NI
1)Kujigonga au kujikata na kitu cha mcha Kali.
2)Maumivu ya jino
3)Maumivu ya vidonda vya tumbo
4)Maumivu katika via vya uzazi
5)Maumivu Wakati wa hedhi
6)Uvimbe mwilini ambao unaweza Kuwa ni Saratani
7)maumivu baada ya kupata ajali
Je Kila maumivu lazima unywe dawa za maumivu k**a Diclofenac au Diclopar nk, fuatana Nami Somo la Alhamis ujue nini cha kufanya unapojiskia maumivu
Emanuel, pharmacist and ceo Buce agrimoney, karibu tunajali mafanikio na Afya yako.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mbeya
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 18:00 |
| Tuesday | 08:00 - 18:00 |
| Wednesday | 08:00 - 18:00 |
| Thursday | 08:00 - 18:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |
| Sunday | 09:00 - 17:00 |