Purity_collection2

Purity_collection2

Share

Tunauza duvets na mashuka kwa bei ya kiwandani. Tupigie au tuchek whatsapp kupitia +255745133714

Photos from Purity_collection2's post 02/05/2024

🎀SALE SALE SALE!!!!!

🎀PATA DUVET 1 SIZE 6/6 SHUKA 1 KUBWAA NA FORONYA 2 KWA BEI YA OFA 35,000 TUU
🎀JUMLA 30,000 KUANZIA 5 KWA 30,000
JAMANI DUVET NDIO KIBOKO YA BARIDI NI K**A UMEWASHA HEATER NDANI🔥🔥 HUTOLISIKIA BARIDI

🎀SHUKA ZA THAILAND KUBWA (KING SIZE) HAZICHUJI WALA KUTOA VIPELE KWA 25,000 UNAPATA SHUKA 2 NA FORONYA 4
🎀SHUKA 2 UKUBWA KING SIZE NA FORONYA 2 KWA 20,000

🎀SOFT BLANKET KWA 20,000

🎀TUPO MBEYA NJIA YA KWENDA ISANGA NA MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU💯

🎀 Tupigie au tucheki Whatsapp namba 0745133714

🎀 Click link kuingia kwenye group letu https://chat.whatsapp.com/FrMYL3T0dOc319xOvo90Ch

21/03/2024

Kitchen stickers zipo only 20k ukubwa 5M urefu *45cm upana hazishiki moto na rahisi kusafishika pia inadecorate jiko lako vizuri 🔥🔥 tucheki Whatsapp namba 0745133714 kuweka oda yako

🎀Pata duvet 1 shuka 1 (King size) na foronya zake 2 Kwa 40,000 tuu
🎀Soft blanket size 7/7 Kwa 20,000
🎀Shuka za Thailand ukubwa 8/8 zinakaa vizuri hata Kwa wenye godoro nch 12 zinakua shuka 2 na foronya 4 Kwa 25,000
🎀Zulia nzuri za manyoya kwaajili ya kupendezesha chumba chako au sebule yako Kwa 55,000
🎀Rugs nzuri za kupigia picha au kuremba ndani kuanzia 10,000
🎀Mito ya kwenye masofa kuanzia 6,000
🎀Maua mazuri ya kuremba mezani au kwenye bedside au tv showcase kuanzia 15,000 unapata ua zuri
🎀Saa za allarm ⏰ kuanzia 10,000
🎀Saa za ukutani
🎀 Perfume original za kupima (zinakaa kwenye nguo Kwa muda mrefu siyo zile unapulizia ukitoka imeisha au ukifua imeisha noo hizi unanukia kijanja na unique )
🎀Boxer za kiume na chupi za k**e Kwa bei nyasi
🎀Na vitu mbalimbali Kwa bei nyasi

Tunapatikana Mbeya njia ya kwenda isanga njiapanda ya mapelele na Kwa waliopo mbeya mjini tuna ofa ya delivery hadi mlangoni kwako☑️☑️

🎀Tupigie au tutxt Whatsapp Kwa namba 0745133714

Ili kuona bidhaa zetu nyingi click link kujoin group letu https://chat.whatsapp.com/FrMYL3T0dOc319xOvo90Ch

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Mbeya

Opening Hours

Monday 08:00 - 19:00
Tuesday 08:00 - 19:00
Wednesday 08:00 - 19:00
Thursday 08:00 - 19:00
Friday 08:00 - 19:00
Saturday 08:00 - 18:00