Uscf must

Uscf must

Share

Uscf must ni umoja wa kikristo wa wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania � tawi la chuo kikuu cha sayans

29/05/2026

SHALOM IN GRACE...

Karibuni sana watu wa Mungu katika mkesha huu wa DIVINE AUTHORITY hapa Mbeya "Tughimbe Hall"
Mtumishi wa Mungu Pastor Josiah amekwisha wasili na tunakusubiri wewe tuu...

Mungu Awabariki wote.

Photos from Uscf must's post 28/05/2026

Shalom In Grace....

Tunamshukuru MUNGU kwa Neema Yake leo tumempokea mtumishi wa Mungu "PASTOR JOSIA" hapa MBEYA SOGWE AIRPORT tayari kwaajili ya ibada kubwa ya mkesha wa DIVINE AUTHORITY utakao fanyika siku ya kesh tarehe 29/05/2026 katika ukumbi wa Tughimbe (SIMBA HALL).

KARIBUNI SANAA......

Photos from Uscf must's post 25/05/2026

ANNOITING
Matendo 10.38
• Upako ni uwezesho wa Mungu wakutimiza kile uliagizwa
• Upako unaenda na Assigment
Isaya 61.1

Upako unakupa
1. Nafasi
2. Nguvu
3. Kibali
4. Hekima
Yoh 3.1

AINA ZA UPAKO
• Upako unakaa ndan ya mtu

Kumtengeneza mtu na yanakaa ndan
1yoh 2.27
1yoh 4.
1Sam.10.6

• Upako unaokaa juu ya mtu-huu ni upako wa utendaji
Kufanya huduma,kueneza injili

Luka 5.27
Kuutambua upako na kuutumia jns mungu anataka
Ezekiel 1.16

• Upako wa kushirikiana-unakuja ili kitu flan kitendeke
• Upako wa kikuhani: ni kufanya ibada
• Upako wa kifalme: ni kuamua mambo
1wafalme 19.15-17

LEVEL ZA UPAKO
1. Upako wa hazael
2. Upako wa Yehu
3. Upako wa Elisha
Zab 45.7
Zabur 105.45
Isaya 10.27

23/05/2026

JOIN US SUNDAY SERVICES🔥
NLH 4
THEME:Not by might Nor by Power but by the Spirit

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Mbeya