DAMBE
Tunapenda kutumia ujuzi wetu wa nishati jua ( Renewable Energies) kupunguza gharama kubwa za uendeshaji wa umeme, kilimo na ufugaji.
29/08/2024
Dambe Solar Energies tumefanikiwa kuyabadilisha maisha ya mfugaji huyu aliyeko jijini Dodoma, alikuwa anatumia diseal engine kuvuta maji kisimani kwa ajili ya kunywesha mifugo yake leo anatumia mfumo wa solar kupata maji kwa ajili ya mifugo yake. Tunajivunia kazi yetu imempa tabasamu mteja wetu. Karibu Dambe Solar Energies kwa mifumo bora ya solar. Tunapatikana Jijini Mbeya, Sokoine karibu na Mbeya hotel, au 📞 0746 021 060
Want your business to be the top-listed Contractor in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Website
Address
2308
Mbeya
53201
Opening Hours
| Monday | 08:30 - 17:00 |
| Tuesday | 08:30 - 17:00 |
| Wednesday | 08:30 - 17:00 |
| Thursday | 08:30 - 17:00 |
| Friday | 08:30 - 17:00 |
| Saturday | 08:30 - 17:00 |