Mbeya Zonal Referral Hospital

Mbeya Zonal Referral Hospital

Share

Ukurasa rasmi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya

Photos from Mbeya Zonal Referral Hospital's post 02/06/2026

Shukrani:
Ujio wenu na maneno yenu ya heri yameendelea kutupa chachu na hamasa ya kutoa huduma bora, zenye viwango na upendo kwa jamii yetu.

Photos from Mbeya Zonal Referral Hospital's post 28/05/2026

MHE. JOSEPHINE MANASE APONGEZA HUDUMA ZA KIBINGWA BILA MALIPO MZRH, MBEYA CITY EXPO 2026.

Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Mhe. Josephine Manase leo ametembelea banda la Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya (MZRH) katika Maonesho ya Nne ya Biashara na Kilimo ya Mbeya City Expo 2026 na kuwapongeza wataalamu wa afya kwa kutoa huduma bora za kibingwa na kibobezi kwa wananchi bila malipo yoyote.

Mhe. Manase amesema: "Nawapongeza sana wataalamu wetu wa MZRH kwa moyo wenu wa uzalendo na weledi mkubwa mnaouonesha hapa maoneshoni. Kusogeza huduma hizi za kibingwa na kibobezi bila malipo ni ukombozi mkubwa kwa wananchi wa Kyela na Mkoa mzima wa Mbeya, kwani inawaondolea adha ya kusafiri umbali mrefu na kuwapunguzia gharama."

Want your organization to be the top-listed Government Service in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address


Hospital Street
Mbeya